Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Pole ndugu!ila hiyo ndio faida ya nyie wapenda bikira za bandia utadhan na nyie mnazo!uamuzi unao mwenyewe,uckilize moyo wako then fanya maamuzi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga chini ,samaha wa nini wakati muda wote alikuwa anakuchezea akili huyo asikuchanganye na si ajabu hana cha ubikira ana interests zake kwako na hata ukimuoa si ajabu akaendelea naye kimya kimya. Kwakuwa ushaujua mwanzi mwisho hautakusumbua
Namsubiri yule aliesema hivi karibuni kuhusu mods wa kike kubana miguu. In case hujanielewa, ni kuhusu matumizi ya maneno "nipo chini ya miguu yenu".
On a serious note: Kuna haja gani kuishi na mtu usiemuamini au hutakuja kumuamini mbele ya safari? Ingekutokea baada ya kumuoa angalau tungekwambia kula jiwe, lakini mwanzoni brother?
da kweli kabisa mama,ila na nyie mmezidi kutuchanganya jamani.Duh, JF shule jamani, kwahiyo kuonja onja huko na kule kuna advantage kubwa kumbe....ama kweli kila kitu kina uzuri na ubaya ni wewe tu utakavyoamua kuchukulia.....!!
Anyway, ushauri wangu mimi ni kuwa huyo dada si mwaminifu, wewe waujua uhusiano wenu vizuri,tulia kumbuka yote then fanya uamuzi,kama anaustahili msamaha fanya hivyo,ukiona haustahili basi kila la kheri,wanawake tumezidi hapa duniani,wengi mno!!
Sasa unataka msaada gani?
Kama hujali msamehe muendelee, kama unajali mwambie aende kwa huyo jamaa mwingine.
lol...... asanteee.
Nawee, bado tu unashobokea mademu wenye bikira?! Shobokea demu anaejuwa kubana nyonga na sio mwenye bikira; ala! Mi nakuambia hivi, demu barubaru lijualo kubana nyonga lina flavor mara 1000 zaidi ya yule mwenye huo upuuzi! We vipi?! Kwanza ngoja nikupe siri ya demu mwenye bikira( kwa maana ya kuwa hajawahi kukutana na mwanaume), kama kweli anayo hiyo bikira yenyewe! Siku akikupa vitu, anatarajia ayaone yale mautamu anayoyasikia kwamba yapo kwenye hako kamchezo! Sasa ikiwa atashindwa kuyaona hata baada ya muda kupita atajiuliza "mbona yale mautamu yenyewe siya-feel?!!" hapo tena atajiuliza "au ndo maana wanasemaga kwamba midume mingine sio mafundi!" Kinachofuata hapo ni kujiambia "kama bikira sinayo tena , sa ya nini kuendelea kubania!" Baada ya hapo atamgeukia yule mwingine ambae alishaomba sana lakini alikuwa anambania...ukumbuke, anapokuja kukupa wewe kuna mijamaa kibao alishaibania! Na hapo ndipo atakapomgeukia mmoja wao ili akajaribu kuyaona hayo mautamu aliyowahi kusikia. Uwezekano wa demu uliyemkuta na bikira kwenda kutoa sehemu nyingine baada ya muda mfupi ni mkubwa zaidi kuliko yule ambae ameshawahi kuonja huku na huko...shauri yako!
Kwan hiyo sms ilikuwa inasemaje?