Jf: Wasichana wa songea

Jf: Wasichana wa songea

Tanzania bila ukimwi inawezekana
 
Wapendwa Dadas' & Bintis' wa Songea,

Mwenzenu nimehamia kikazi hapa songea yapata miezi mi-tatu hivi lakini dah kuna baridi sio mchezo...so naomba kama kuna mwanamke yupo single au bored na msela wake basi tuwasiliane nami ili tupeane kampani na hii baridi wajameni....nakaribisha PM za kutosha tu.

NB: Usikusipati usingizi jamani...lol.....so plse come and feel @ home!

UPDATES

Mimi nipo single til now lakini kuhusu suala la kuoa si unajua huwa linakuja automatically endapo mtu unaona kifaa kinalipa na manendana vema...so ishu sio ubinafsi ila ni kukubaliana na kuwa na malengo so kama nikiona mtu anajituma kwa 100% kwanini nisichukue jumla...? so uwanja upo wazi..mkuu!

Huko hakuna wale mama wauza?
 
Mkuu uko songea mjini ndo unalalamika baridi hivyo? je ungekuwa mbinga si ungebaka wewe! mbinga ni balaa, mi nilikuwa na kabinti kule nilikuwa nalala nacho kila siku, mana siku nikisema nivumilie ikifika usiku najikuta kitu mnarani saa hiyo hiyo namtafuta, uzuri nilikuwa nalala nae nyumba moja, kwa hiyo ilikuwa rahisi kumuhamisha chumba
ila kuwa makini mkuu na magonjwa
 
Mwenzio anataka mablanketi-watu, hujamuuelewa tuu?
Kwa lugha rahisi haitaji kumpenda mtu, anahitaji kampani tu ya kulala usiku na pia hajaweka vigezo vyovyote vya status ya afya, sura, umbile, rangi wala dini!!! Kama na wewe uko huko msaidie nduguyo! :israel:

Keshakuwa ndugu yangu halafu vipi tuwe tunalaliana?
 
Cha msingi na cha Sekondari hapo ni kwa wewe kuoa mke, full stop !

Hizo biashara zingine za rejareja zitakutokea puani ! OA MKE !
 
Back
Top Bottom