donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Mkuu, latest?Nitakuchangia flash disk yenye movies ukaangalie ukiwa honeymoon
Sawa bwana Chris KyleMtaani tuchangiane,
Kwenye magroup ya watsapp tuchangiane pia,
Mpaka jf?
Hapana,
Utapeli ni mwingi.
Jf party. . Forex . NYeteMtaani tuchangiane,
Kwenye magroup ya watsapp tuchangiane pia,
Mpaka jf?
Hapana,
Utapeli ni mwingi.
2018-2019 zipo nearly 200Mkuu, latest?
Mimi nitachangia, ila niunganishie manzi wa makamo wa jf nioe.Tryna look at this side, wengi tumekutana humu tumekua friends but when it reaches to a point kwamba mwenzetu/wenzetu anaoa/wanaoana je tutachangiana? For me, I know without a doubt Mzigua90 lazima atanichangia, but what about others?
Unapatikana wapi mkuu nikusanye mchango wa mwana mapema kabisa?2018-2019 zipo nearly 200
tuombe uzimaTryna look at this side, wengi tumekutana humu tumekua friends but when it reaches to a point kwamba mwenzetu/wenzetu anaoa/wanaoana je tutachangiana? For me, I know without a doubt Mzigua90 lazima atanichangia, but what about others?
Kuchangiana harusi ni ujima.Tryna look at this side, wengi tumekutana humu tumekua friends but when it reaches to a point kwamba mwenzetu/wenzetu anaoa/wanaoana je tutachangiana? For me, I know without a doubt Mzigua90 lazima atanichangia, but what about others?
Niambie ulipo. Kama nami nipo hapo nitaku pm tubadirishaneUnapatikana wapi mkuu nikusanye mchango wa mwana mapema kabisa?