Jf weddings, je tutachangiana?

Jf weddings, je tutachangiana?

Ukioa mwanamke kama huyu kuna 100,000 toka kwangu!
f3c876498b7b40d0cc2aaa5be046ad87.jpeg

Ila ukioa mweupe sahau kupata hata senti 50 mkuu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Tryna look at this side, wengi tumekutana humu tumekua friends but when it reaches to a point kwamba mwenzetu/wenzetu anaoa/wanaoana je tutachangiana? For me, I know without a doubt Mzigua90 lazima atanichangia, but what about others?
Mimi nitachangia, ila niunganishie manzi wa makamo wa jf nioe.
Nilishashindwa ujanja wa kuwatambua nje ya id fake.
Tena mimi sibagui wala sichagui sura, ili mradi awe single.
 
Nitarudi kwa huu uzi nikikamata Jf baby mama mmoja hatari
 
Kuchangiana tu harusi? Nyie era ya kina mzigua mna shida sana watu humu wamezikana, wamechangiwa mpaka wajomba zao wakioa.
Wahenga wenzangu wananielewa.
 
Tryna look at this side, wengi tumekutana humu tumekua friends but when it reaches to a point kwamba mwenzetu/wenzetu anaoa/wanaoana je tutachangiana? For me, I know without a doubt Mzigua90 lazima atanichangia, but what about others?
Kuchangiana harusi ni ujima.

Bora hata kuchangiana kuanzisha biashara.

Speaking of that, umenikumbusha Jack Pemba alituchangisha harusi watoto wa Upanga, alivyopata kitita cha kutosha akasepa zake nje ya nchi.

Tumechangia harusi, kumbe mwenzetu anatafuta nauli na hela ya kuanza maisha nje ya nchi.

Kama inakufurahisha kiutamaduni au kiuchumi ni haki yako kuchangia au kuchangiwa, lakini mimi sijawahi na sitakuja kuchangiwa harusi. Labda nichangie watu tu.

Kuna mshkaji alikuwa anaoa, akaomba asichangiwe, na kama kuna mtu ana mchango, akapeleke kusaidia kijiji cha Wamasai.Kinyamwezi zaidi nilimuelewa sana.

Wabongo wakamsema anajidai.

Angewachangisha wengine wangelalamika michango mingi.

Do you!
 
Back
Top Bottom