Jf weddings, je tutachangiana?

Jf weddings, je tutachangiana?

Hakuna kitu kinanikera kama kuchangiana michango ya harusi.

Michango ya misiba na matibabu naelewa, lakini harusi nina mpango wa kuzisusia.
 
Hata ninaowafahamu sichangi sembuse id fake[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hahahahahahhahaha we kumbe kama mimi, huwa sichangii hizo mambo kabisa... Nachangia mgonjwa au msiba tu
 
Nachangia matibabu,masomo harusi hainihusu
 
Back
Top Bottom