JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

Ni Nani Anafaa Kuwa "JF Man of the Year 2010"?

  • Acid

    Votes: 23 40.4%
  • Kiranga

    Votes: 12 21.1%
  • Nyani Ngabu

    Votes: 22 38.6%

  • Total voters
    57
  • Poll closed .
Mpaka sasa Mchuano ni kati ya Regia Mtema na Woman of Substance
 
Gaijin yuko scientific, specific and precise.
Kura yangu nimempa yeye.
 
Pasco alistahili kuwania hii tuzo
 
ama kweli leo ni wikiendi- maana hadi sasa ni watu kama 24 tu waliopiga kura. Au JEC haikutoa elimu ya kutosha kwa voters nini?
 
Ndugu mleta mada naomba unihakikishie usalama wa kura yangu kabla sijaattempt kupiga na kumfuta kazi mtu. Je hkna uwezekano wa mgombea ku-lobby akajua waliomfuta ushindi?
 
ama kweli leo ni wikiendi- maana hadi sasa ni watu kama 24 tu waliopiga kura. Au JEC haikutoa elimu ya kutosha kwa voters nini?

PJ, duh! Kwanza ulikuwa wapi? Ungekuweko kwenye mchakato wa awali lazima ungeingia kwenye mtinange.

Mkuu, watu kiduchu kwa kuwa leo weekend nadhani. hata hivyo Mods kama wanaweza tunaomba wai-sticky ili wengi waione na kupiga kura.
 
PJ, duh! Kwanza ulikuwa wapi? Ungekuweko kwenye mchakato wa awali lazima ungeingia kwenye mtinange.

Mkuu, watu kiduchu kwa kuwa leo weekend nadhani. hata hivyo Mods kama wanaweza tunaomba wai-sticky ili wengi waione na kupiga kura.

ha ha haa, kiongozi, ni raha tupu!
Nadhan mimi ningeingia ningeishia kujiDOVUTWA, maana hao waliofika hapo NAWAHESHIMU SANA na pia michango yao naipa due-respect!.,Kimsingi ni kuwa wanastahili...
Nawasilisha kiongozi wangu.
 
Mmh JF kumekucha mwaya. Nshapiga kura yangu na mimi. siri yangu ya moyoni.
 
thanxgod ihave lived to vote for the woman i bilieve to be eligible, ingawa kwa hao waliopo ni ngumu sana kuchagua. mimi imenibidi nifumbe macho na kuclick panya, then nikafumbua kuona surprise! ...hawa dada zangu bana!!
 
sasa mratibu unaonaje ukiambatanisha latest posts/ comments tatu tatu za kila mshindani tusije tukatoa kura za ushabiki.

teh teh teh
 
Mnaonaje Kwenye hizi thread za women/man tuwekewe japo latest posts/ comments tatu za kila mshindani.

Alafu nadhani mwanakijiji mumtoe. Mwambieni mmmetoa sio kwa sababu hana sifa bali sababu yuko level tofauti kabisa.
 
Gaijin yuko scientific, specific and precise.
Kura yangu nimempa yeye.

Kweli kabisa, hata mimi ndiyo nimetoka kumpa kura yangu huyu m'dada! Anaonekana kuwa ana akili nyingi sana za maisha huyu mtu. Gaijin, tupo nyuma yako.
 
I am disqualified already. Damn!!!

Lakini pouwa....lazima kuna mtu atanipendekeza kwa ile au zile ID zangu tofauti....

Kwa kweli hufai...
Katika watu wanaoniboa hapa JF wewe ni mmoja wao....
 
Mimi niliyependekezwa kwa kura nyingi umeniweka wa mwisho katika orodha!! Kwa nini? Huo ndiyo uchakachuaje wenyewe sasa kwa sababu hiyo inawapa impression wapiga kura kuwa mimi ni wa mwisho na hivyo kuathiri au kuinfluence upigaji kura wao.

Imefuatwa alphabetical order mdogo wangu..........
Hata hivyo hufai....
Go Kiranga, go....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…