JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

Ni Nani Anafaa Kuwa "JF Man of the Year 2010"?

  • Acid

    Votes: 23 40.4%
  • Kiranga

    Votes: 12 21.1%
  • Nyani Ngabu

    Votes: 22 38.6%

  • Total voters
    57
  • Poll closed .
Vigezo vifuatavyo vizingatiwe katika kupiga kura yako:

2. Awe ni mwenye uwezo wa kusimamia hoja zake na kuzijibu kikamilifu bila jazba na kwa umahiri wa hali ya juu pale ambapo anapata challenge toka kwa wachangiaji.

3. Awe ni mwenye ushawishi wa hali ya juu katika mabandiko anyochangia walau kwa muonekano wa wachangiaji kuunga mkono hoja zake.

5. Asiwe mtu wa shari katika majibizano kiasi cha kupelekea Mods kumpa "BAN".

6. Aonekane wazi katika mabandiko yake anaweza akahisiwa kuwa Kiongozi Mzuri.

8. Awe ni mtu asiyeogopa kukemea mabandiko yenye lengo la kutukana, kudhalilisha, kubagua, kuleta mfarakano na kutokuelewana baina ya wanachama wa JF.

Mkuu mwenyekiti wa JEC, naomba vigezo nilivyoviainisha hapo juu vitumike kuengua jina la NYANI NGABU kwa sababu huyu Bwana: ni mshari, mkorofi, mbabe, ana dharau na mara nyingi husababisha migongano humu ndani kiasi cha kupelekea kupewa BAN (Mheshimiwa Roboti anihukumu kama hajawahi kutoa Ban kwa huyu Bwana)...

Binafsi alishawahi kunitukana na kunidhalilisha kwenye post moja kwa kukosea kuandika kiingereza fasaha hali iliyonifanya nikashindwa hata kutekeleza majukumu yangu ya siku hiyo kutokana na mfadhaiko nilioupata. Kuona NYANI NGABU akipewa sifa za ushiriki wa JF Man of the Year ilhali kuna watu ambao kwa namna moja au nyingine walishawahi kuathirika kutokana na kauli na kejeli zake ni kuikosea heshima jamii ya Wana-JF hao ambao wanaamini kuwa JF ni mahali pa kusaidiana na kuelimishana na siyo kudhalilishana...

JF man of the Year ni shindano ambalo kwa imani yangu litapelekea baadhi ya wana-JF kuiga matendo na kauli za washiriki kwa imani kuwa hao ndiyo vioo vya jamii ya JF ili mwakani nao waweze kushiriki hili shindano kwa kuiga yale yaliyosemwa, yanayosemwa na yatakayosemwa na hawa washiriki. Je kutoka kwa NYANI NGABU tuige/tujifunze jinsi ya kudharau? Kukejeli? Kutukana? Kudhalilisha wengine? Kujisifu hata kwa mambo yasiyo na msingi?

Nitafurahi iwapo mchakato huu utakuwa huru na wa haki kwa kuzingatia misingi yote ya Demokrasia ikiwa ni pamoja na wengi wape na pia wachache waheshimiwe "Majority rule and minority right".. Na kwa kuzingatia hilo basi nitashukuru kusikia kauli yako Mheshimiwa Mwenyekiti wa JEC pamoja na utekelezaji wa niliyoyaainisha kwa manufaa ya JF pamoja na wana_JF wote popote walipo.. Pamoja na yote aliyowahi kunitendea huyu Bwana naomba niweke wazi kuwa sina chuki naye bali nimeamua kuanika wazi mambo yake ili jamii ya wana-JF iweze kuelewa ukweli na kufanya maamuzi ya busara katika harakati hizi za kumpata JF Man of Year 2010.

Nashukuru kwa kunielewa.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki Jamii Forums.

TANMO - Tanzania Ni Moja
 
Hili la kumtoa Mwanakijiji nadhani lina busara ndani yake..
Mwenyekiti wa JEC tunaomba utolee tamko hili wazo la Mdau..
Isitoshe huyu Bwana huwa hachangii majukwaa yote, yupo bize na Majukwaa ya siasa na Uchaguzi. Akichoka basi utamwona kwenye MMU na hadithi zake na mashairi yake ya mahaba! Ila kwingine haonekani: Kwa mfano JF Doctors......

Hapana asitolewe kwa sababu ulizotaja wewe . mi nimependekeza atolewe sababu naona yuko mara nne au tano juu zaidi ya washindani wake.
 
tusianze kuinfluence each other juu ya upigaji kura,
kama humpendi mtu mpotezeee...
wengi wametajwa,chagua unayempenda...wengine achana nao,usitupe sababu kwa nini hujavote au tusimvote...eboh!
 
I am disqualified already. Damn!!!

Lakini pouwa....lazima kuna mtu atanipendekeza kwa ile au zile ID zangu tofauti....


tusianze kuinfluence each other juu ya upigaji kura,
kama humpendi mtu mpotezeee...
wengi wametajwa,chagua unayempenda...wengine achana nao,usitupe sababu kwa nini hujavote au tusimvote...eboh!


...................................................
 
tusianze kuinfluence each other juu ya upigaji kura,
kama humpendi mtu mpotezeee...
wengi wametajwa,chagua unayempenda...wengine achana nao,usitupe sababu kwa nini hujavote au tusimvote...eboh!

Eboh umeeleweka binti
teh teh teh Kama nimekufananisha vile signature yako na kibesi
 
Kweli kabisa, hata mimi ndiyo nimetoka kumpa kura yangu huyu m'dada! Anaonekana kuwa ana akili nyingi sana za maisha huyu mtu. Gaijin, tupo nyuma yako.

Tanmo, hongera sana kwa kutumia haki yako. Hii Avatar yako namna gani vipi?
 
Mwanakijiji naona hakamatiki. Kama JK. Au amechakachua nini?
 
Membership hapa JF ni siri, nyie mmejuaje kwamba Nyani Ngabu ni njemba na siyo manzi ????? :whoo:
 
Yakhe nadhani unahitaji miwani.....hebu rudi ucheki uone mimi ni member wa aina gani......

Kura vipi, ushanipigia?

Duuh! Mzee Nyani kumbe unapeta kama Premium Member long time... Ama kweli uzee unanisumbua...anyway chondechonde, ingawa nimekupigia kura jana, nasikitika kuona hamna maendeleo yoyote tokea kura yangu ya jana, na bado Mzee Mzima umegota kwenye kura 4 tu huku MKJJ aki-kuovateki kwa kwenda mbele, na vilaza kama Kiranga wakila droo na wewe...
 
thanxgod ihave lived to vote for the woman i bilieve to be eligible, ingawa kwa hao waliopo ni ngumu sana kuchagua. mimi imenibidi nifumbe macho na kuclick panya, then nikafumbua kuona surprise! ...hawa dada zangu bana!!

Tuko pamoja Mkuu. Yeyote atakayechaguliwa na Wana JF sisi kwetu ni sawa tu, maana wote wanafaa.
 
Duuh! Mzee Nyani kumbe unapeta kama Premium Member long time... Ama kweli uzee unanisumbua...anyway chondechonde, ingawa nimekupigia kura jana, nasikitika kuona hamna maendeleo yoyote tokea kura yangu ya jana, na bado Mzee Mzima umegota kwenye kura 4 tu huku MKJJ aki-kuovateki kwa kwenda mbele, na vilaza kama Kiranga wakila droo na wewe...

Mkuu, lugha ya kejeli hairuhusiwi. Inaweza kuleta uvunjifu wa amani.
 
Mkuu, lugha ya kejeli hairuhusiwi. Inaweza kuleta uvunjifu wa amani.

Mkuu mbona hujatolea kauli malalamiko yangu kuhusu huyu Mgombea NYANI??
Au ndiyo mwenyewe hapa unatumia ID nyingine ya SUPERMAN?
 
Ndugu huo ndio msimamo rasmi wa JF ?

Hata hivyo kuna vitengo vingi sana na category nyingi sana ndani ya JF huwezi kuibuka tu ukapendekeza majina yako wewe
 
Ndugu huo ndio msimamo rasmi wa JF ?

Hata hivyo kuna vitengo vingi sana na category nyingi sana ndani ya JF huwezi kuibuka tu ukapendekeza majina yako wewe

Shy umetake trouble kusoma thread kwa umakini na kurejea thread uliyoelekezwa kabla ya kuweka post yako?

Take time and read. Careful.
 
Naona MKJJ amewaacha wenzake kwa mbali.

Hata hivyo bado tuna siku nyingi zimebaki. 6 days to go.
 
Back
Top Bottom