JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

Ni Nani Anafaa Kuwa "JF Man of the Year 2010"?

  • Acid

    Votes: 23 40.4%
  • Kiranga

    Votes: 12 21.1%
  • Nyani Ngabu

    Votes: 22 38.6%

  • Total voters
    57
  • Poll closed .
Mpaka Sasa Gaijin 17
WoS 18

Ngoma inogile.

Duh!
Upepo unageuka . .

Mpaka Sasa:

Regia Mtema 15
Gaijin 19
WoS 18

Huu ndo uchaguzi. Na JEC iko makini hakuna kuchakachua.
Ngoma inogile.
 
Naomba kuondolewa kwenye mtanange huu, ndio nimepitia nafasi ya kusoma. Nadhani ni vizuri kuwapambanisha kundi jipya la membaz hapa. Nadhani ukishapata heshima hii mara moja inatosha hasa ukizingatia tuna wanachama karibu elfu ishirini. Ninawashukuru wale walionipendekeza na ambao walinionigongea kunichagua. Nawatakia kila la kheri waliobakia.

NB: Naomba msianzishe ya uicon tena jamani. Status quo iwe maintained.

Mzee Mwanakijiji;

Heshima kwako sana.

JEC haikuwa na uwezo wala mamlaka ya kukuondoa katika uchaguzi huu kwa kuwa huu ni uchaguzi ambao ni wa ridhaa ya wanachama na hukujipendekezi mwenyewe. Kwa hiyo ilikuwa ni haki ya members kukupigia kura na mwelekeo unaonyesha kuwa members wana imani kubwa na wewe.

Hata hivyo, JEC imekaa na kupitia ombi lako na kukubaliana kimsingi kuwa tukukubalie. Kwamba wewe ni mtu unayependa kuona kizazi kipya kinashika hatamu ndiyo maana kwa hiari yako umejitoa.

Kujitoa kwako katika mtiangange huu ni sawa na kitendo cha hayati Mwalimu Nyerere "Kung'atuka" katika uongozi kwa hiari yake.

Mwishoni na kwa heshima na taadhima JEC inapenda kujua juu ya usemi "Nadhani ukishapata heshima hii mara moja inatosha hasa ukizingatia tuna wanachama karibu elfu ishirini".

Tunakutakia kila la heri na afya njema.
 
kwa kuwa mkuu MM ameamua kujitoa, Acid naye amejitoa na NN anatuhuma ambazo hajazijibu, basi taji hilo liende moja kwa moja kwa Kiranga maana hana pingamizi

Kipipili, kwa sheria za JEC candiadtes 3 walitakiwa. Hapa walikuwa 4 kwa kuwa wengine walifungana.

Acid hakujitoa kama unavyoeleza. Soma thread kwa makini.

NN tunahitaji majibu yake na leo ni mwisho kabla JEC haijaamua. Mtafuteni aliko mumjulishe kama mlivyomtafuta MWKJJ.
 
Naomba kuondolewa kwenye mtanange huu, ndio nimepitia nafasi ya kusoma. Nadhani ni vizuri kuwapambanisha kundi jipya la membaz hapa. Nadhani ukishapata heshima hii mara moja inatosha hasa ukizingatia tuna wanachama karibu elfu ishirini. Ninawashukuru wale walionipendekeza na ambao walinionigongea kunichagua. Nawatakia kila la kheri waliobakia.

Ni taarifa tu. Isije ikadhaniwa JEC wamemchakachua.

JEC ilikaa na kuridhia ombi lake.

Piga kura yako sasa:

https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/93052-man-of-the-year-2010-piga-kura-yako-2.html

https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/93053-jf-woman-of-the-year-2010-piga-kura-yako.html
 
mbona mie simo kwelye list naenda mahakamani kupinga uchaguzi huu sio huru na wa haki ngoja niwasiliane na Mch. Mtikila anipe mwongozo
 
wewe huna kazi zingine za kufanya?

Hii ni mojawapo, kuleta changamoto kwa jamii.. tena kwa kujitolea.

Wewe kazi ulizofanya ziko wapi, na athari zake (chanya) kwa jamii ni zipi?
 
Huu uchaguzi si wa haki hata kidogo. Kwanza kura inatakiwa ziwe za siri. Hizi ni za wazi.
 
Hii kitu ni fake! Nikiamua kumpigia kura WOS kwa sababu zangu kutumia multiple IDs zote ninazomiliki atashinda kwa Kishindo, Kikwete huita ushindi wa Sunami
 
Huu uchaguzi si wa haki hata kidogo. Kwanza kura inatakiwa ziwe za siri. Hizi ni za wazi.

Mkuu kwanza unayosema si ya kweli na hayana msingi.

Kura ni siri na hakuna anayejua kura ya mwenzake.

JEC inasimamia haki na sheria.

Jibu malalamiko uliyowekea pinamizi kwenye "JF Man of the year" Kwa nini unayakwepa mkuu . . . LOL
 
Back
Top Bottom