Mpaka Sasa Gaijin 17
WoS 18
Ngoma inogile.
Naomba kuondolewa kwenye mtanange huu, ndio nimepitia nafasi ya kusoma. Nadhani ni vizuri kuwapambanisha kundi jipya la membaz hapa. Nadhani ukishapata heshima hii mara moja inatosha hasa ukizingatia tuna wanachama karibu elfu ishirini. Ninawashukuru wale walionipendekeza na ambao walinionigongea kunichagua. Nawatakia kila la kheri waliobakia.
NB: Naomba msianzishe ya uicon tena jamani. Status quo iwe maintained.
kwa kuwa mkuu MM ameamua kujitoa, Acid naye amejitoa na NN anatuhuma ambazo hajazijibu, basi taji hilo liende moja kwa moja kwa Kiranga maana hana pingamizi
Naomba kuondolewa kwenye mtanange huu, ndio nimepitia nafasi ya kusoma. Nadhani ni vizuri kuwapambanisha kundi jipya la membaz hapa. Nadhani ukishapata heshima hii mara moja inatosha hasa ukizingatia tuna wanachama karibu elfu ishirini. Ninawashukuru wale walionipendekeza na ambao walinionigongea kunichagua. Nawatakia kila la kheri waliobakia.
wewe huna kazi zingine za kufanya?
mbona mie simo kwelye list naenda mahakamani kupinga uchaguzi huu sio huru na wa haki ngoja niwasiliane na Mch. Mtikila anipe mwongozo
Umewahi kuzipitia thread ulizozianzisha?
Tafakari. Chukua hatua kabla ya kupost.
wewe huna kazi zingine za kufanya?
niwekeni mimi basi
Mh!unafaa kabisa!!!
wewe huna kazi zingine za kufanya?
ahaha !! nilikuwa natania tu mkuu
Huu uchaguzi si wa haki hata kidogo. Kwanza kura inatakiwa ziwe za siri. Hizi ni za wazi.