JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

Ni Nani Anafaa Kuwa "JF Man of the Year 2010"?

  • Acid

    Votes: 23 40.4%
  • Kiranga

    Votes: 12 21.1%
  • Nyani Ngabu

    Votes: 22 38.6%

  • Total voters
    57
  • Poll closed .
Hawa waheshimiwa siwaelewi. ina maana hawataki kujadiliwa na kutathminiwa hapa jukwaani??
Ninawashauri wafikirie upya uamuzi wao. wanatuvunja mkono sisi washabiki wao.

Kamanda Mkuu;

Hakika JEC imetathmini maombi yao, na kwa kuwa mchuano huu unataka hiari, tumeona ni vema tusiwalazimishe.
 
Mkuu nimekupata.

Swali la kwanza wenyewe watajibu. Ila JEC imeona sababu zao ni za msingi.

Kuhusu mgombea binafsi, hii hoja ni ya nguvu na nadhani itabidi next time mtu awe na namna ya kugombea binafsi kama ana nia ya kugombea.

SUperman, kuhusu hoja ya mgombea binafsi kuna thread nimeianzisha na nataka uisome na kunipa majibu yanayoeleweka maana nimeanza process za kisheria.
 
huyu kiumbe cjui ana matatizo gani,juzi kati alikua ananichokoa mimi nikampotezea,leo naona kahamia kwako,nimefurahi ulivyomjibu.
anatia huruma!


CM kula kila aina za personality.

Ni vema tuwapende wote na kuwaombea.

Tuko pamohja mkuu.
 
taratibu tu tutafika hata km tutakuwa tumechelewa kiasi gani...tuweni wapole tu
 
SUperman, kuhusu hoja ya mgombea binafsi kuna thread nimeianzisha na nataka uisome na kunipa majibu yanayoeleweka maana nimeanza process za kisheria.

Haaa haaa, tupo pamoja Mkuu ngoja niitafute.
 
tafuteni kazi za kufanya jamani. haya nayo ni madhara ya kukaa vijiweni! wenzenu wana "fursa nyingi nyingine zaidi ya hapa" hamjapata tu tu cha kujifunza katika maneno haya?

we supamani tafuta kazi za kufanya, time is maney. shauri yako usiposikia
 
tafuteni kazi za kufanya jamani. haya nayo ni madhara ya kukaa vijiweni! wenzenu wana "fursa nyingi nyingine zaidi ya hapa" hamjapata tu tu cha kujifunza katika maneno haya?

we supamani tafuta kazi za kufanya, time is maney. shauri yako usiposikia

I have more than what you think.

Just coming here and making the posting shows that you are keen and interested on the exercise just like many other voters do. Take time to understand the concepts before u post.

I challenged you to go back and view your threads and posts you have started, is there any which at least can meet any of Great Thinkers Standards?

There are so many forums here which you can be free to choose whenever you want to.

This unappealing behaviour of your if goes on for a long time for sure you will get a ban.

You have been warned and many members has complained about you.

So, find something good to suit yourself.

QED
 
Kumuondoa mgombea wakati kura zimeanza si haki... hili zoezi limechakachuliwa aisee

Post yangu haikua na lengo la kuomba MMM ajitoe bali kusisitiza umuhimu, uzito na nafasi yake kwenye JF... sijui ilitafsiriwa vibaya au viuri

Ila naona hili zoezi tungelisitisha au MMM arudi ili kuhesimu waliompa kura... Naomba kuwasilisha hoja
 
1. JS - Kura 1
2. Acid - Kura 2
3. Kiranga - Kura 2
4. Mwanakijiji - Kura 2
5. Nyani Ngabu - Kura 3
6. Pasco - Kura 1
7. Mkandara - Kura 1
8. Superman - Kura 1 (Aliomba ajitoe mwanzoni kwani yuko JEC)
9. Malecela - Kura 1
10. Ivuga - Kura 1
Khe.... kumbe JS ni meni:wacko:
 
Regia 28
Gaijin 29

Ngoma inogile. Hapa nu uadilifu wa JEC ndo itakayonusuru uvunjifu wa amani.
 
Regia 28
Gaijin 29

Ngoma inogile. Hapa nu uadilifu wa JEC ndo itakayonusuru uvunjifu wa amani.

sasa kwa nini umeondoa tusione wapiga kura.???!!! Yaani kuwa watu wanaogopa kuwa wawazikujulikana kura zao wamempa nani? Huu si unafiki.

Kama kura za JF woman/ man of the year watu hawajiamini wanataka kupiga kura za woga inaonyesha kuna watu wanataka kupiga kura za kishabiki zaidi.

Rudisheni analysis inayoonyesha majina ya wapiga kura. Tuache Unafiki.

Kama kuna mtu hataki kuonekana mbaya sababu ya kura tu kwa wagombea aache kupiga kura
 
Gaijin for JF Woman of the year. Nyani Ngabu for JF Man of the year.
 

Mkuu Acid; MKJJ aliomba ajiondoe kwa sababu za msingi sana. JEC ilipima ombi lake na ikaliridhia. MKJJ alitumia haki yake ndani ya sheria za JEC. Hivyo hivyo kwa WoS.
 
Hii, ni poa sana wakuu, nashauri tuzo ziwepo nyingi, hata kwa andiko bora la siku,wiki au mwezi apewe zawadi zake. Na mambo mengine kibao yapo watu wanaweza pewa tuzo, ipo kamili hii akili wakuu...

Tuandike zaidi ya tumegavyo tonge ili JF Isonge..
 
tafuteni kazi za kufanya jamani. haya nayo ni madhara ya kukaa vijiweni! wenzenu wana "fursa nyingi nyingine zaidi ya hapa" hamjapata tu tu cha kujifunza katika maneno haya?

we supamani tafuta kazi za kufanya, time is maney. shauri yako usiposikia

Great thinker, sasa wewe mbona upo hapa. Isitoshe umepata hata muda wa kufikiria maneno ya huyo mdada na kuyafanyia uchambuzi..

Kweli kama ni kijambo kimepata mjambaji...
 
Mheshimiwa mwenyekiti wa JEC.

Zimetimia siku tatu tangu nitoe malalamiko yangu kuhusu mmoja wa wagombea Bwana. NYANI NGABU... Kwa kuheshimu maamuzi na mapendekezo ya JEC kuwa inabidi huyu Bwana naye apewe nafasi ya kujitetea kabla JEC haijatoa hukumu na kwa kuzingatia na kuheshimu usawa, ilinibidi kuvumilia na kusubiri huku nikiwa na matumaini kuwa angalau huyu Bwana hata angekuja na kutoa tamko la kuwaomba radhi wana-JF aliowahi kuwaathiri kwa namna moja au nyingine. Mpaka dakika hii naona ameamua kukaa kimya hali inayonishawishi kuamini kuwa ameamua kupuuza agizo halali la JEC na kudhihirisha mojawapo ya sifa zake kuu: Dharau.

Hivyo basi, ninaomba kusikia tamko rasmi kutoka JEC juu ya malalamiko yangu pamoja na kitendo cha huyu Bwana kulipuuza agizo halali la JEC.

Vinginevyo nipate kuwasiliana na Wanasheria wenzangu ili tuamue nini kifanyike baada ya kusikia tamko halali la JEC.
 

Asante TANMO kwa waraka wako.

JEC imeshakaa na maamuzi yametolewa.

Tutakuwa na kikao na Waandishi wa habari baadaye leo kuwaelezea hatma ya ushiriki wa NN katika kugombea nafasi tajwa.

JEC kwa mara nyingine inapemnda kuwahakikishia wote haki itatendeka sambamba na sheria za uchaguzi.

Wasalaam

JEC
 
Great thinker, sasa wewe mbona upo hapa. Isitoshe umepata hata muda wa kufikiria maneno ya huyo mdada na kuyafanyia uchambuzi..

Kweli kama ni kijambo kimepata mjambaji...

Tuwaombee wanaotukosea.
 
Done my part (it was hard lakini).....may the best of all win. na asinisahau katika kusherehekea kwake.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…