JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

Ni Nani Anafaa Kuwa "JF Man of the Year 2010"?

  • Acid

    Votes: 23 40.4%
  • Kiranga

    Votes: 12 21.1%
  • Nyani Ngabu

    Votes: 22 38.6%

  • Total voters
    57
  • Poll closed .
Bujibuji (Go to all started threads)
 
Hiyo namba 6 inajumuisha na lile jukwaa la watu wazima au?............
 
Well kwa wanaume napendekeza wafuatao NYANI NGABU, KIRANGA, REV.KISHOKA, MWANAKIJIJI na kwa wanawake napendekeza MWANAJAMIIONE
Aksante The Finest but mie nimekuwa disqualified......niko Jukwaa moja tu.............la mahaba bana.mama wa yote ati maana bila hilo hakuna siasa wala uchumi.
 
Aksante The Finest but mie nimekuwa disqualified......niko Jukwaa moja tu.............la mahaba bana.mama wa yote ati maana bila hilo hakuna siasa wala uchumi.

I guess walau kuchangia jukwaa zaidi ya moja natumaini umefanya hivyo sababu kubobea kwenye majukwaa matatu hapo dah ishu kidogo lazima kila mtu ana jukwaa lake la mahususi maana kuna wengine wamebobea kwenye siasa tu au jukwaa lile la wakubwa
 
Ushauri:

1. Wengi tunakimbilia wingi wa mabandiko badala ya uthamani wake. Mwenye machache ya nguvu ni bora kuliko mwenye mengi ambayo yamechanganywa na ya uzushi au tetesi au hoja ambazo hazina maslahi ya Kitaifa. Yaani kuwa na mabandiko kibao yasiyoleta tija katika maendeleo yetu ni matumizi mabaya ya fursa na rasilimali chache tulizo nazo hapa duniani. Kifupi hapa ninazungumzia ufanisi (Input/Output)

2. Je pia tunaangalia namna ya uwasilishwaji wa hoja. Mifano: Aliye jizoeza kuandika kwa lugha ya ufasaha pasipo kuchanganya changa lugha ni sifa njema kuliko kinyume chake.

3. JF si mahala pa kutoa tu kasoro au kuegemea tu upande fulani bila sababu. Mfano, ningependa kumpongeza yule ambaye anaandika hata mazuri ya Serikali au Kiongozi fulani aliyefanya vizuri maana katika hilo wengine wanajifunza kufanya vyema ili nao watuzwe. Hapa nazungumzia Mwandishi ambaye hana mningínio wa upande fulani tu (Lack of objectivity).

4. Ingawa hili halisemwi, nitalisema. Kuna kamtindo ka baadhi ya wadau kupewa nafasi za upendeleo wa kipekee bila sababu za wazi katika jinsi tunavyopokea lile wanaloandika (kumbuka hadithi ya Mfalme bila vazi lakini watu wanashangila kuwa ana vazi zuri kuliko yote). Mfano. kama kila anayeleta habari hapa anaulizwa mara moja atueleze chanzo chake, basi iwe kwa wote. Haipendezi wengine waanzishe tu mada na kusema chanzo changu na ikakubalika eti kwa sababu ana nyota nyingi au kuna siku moja aliwahi kuibuka mambo mazito kama Wikileaks. Tukifanya hivi basi tutakuwa tunasubuliwa na matatizo yaiyayo Halo effects.
 
Teheteheteheteheeeeeee!!!!!!malaria haikubalikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Nampendekeza regia mtema kwa wanawake na wanaume subiri nikague ntapiga kura badae.
 
Nimekuta majibu haya
JamiiForums Message

Sorry - no matches. Please try some different terms
 
Sasa mimi itakuwaje? maana thread zangu nyingi nikianzisha hazikai hata siku tatu, zinafutwa, eti zinahatarisha usalama wa taifa. sasa wadau mtanipigiaje kura wakati sina kitu cha kuonyesha?
 
Well kwa wanaume napendekeza wafuatao NYANI NGABU, WABEROYA, KIRANGA,ACID, REV.KISHOKA, MWANAKIJIJI na kwa wanawake napendekeza MWANAJAMIIONE

Asante Finest.

Rejea vigezo. Unatakiwa upendekeze jina moja tu katika kila Category.
 
Aksante The Finest but mie nimekuwa disqualified......niko Jukwaa moja tu.............la mahaba bana.mama wa yote ati maana bila hilo hakuna siasa wala uchumi.

Kama ukipendekezwa bila utata na unachangia posts katika majukwaa tofauti bado unakubalika.
 
Nimekuta majibu haya
JamiiForums Message

Sorry - no matches. Please try some different terms

Ufafanuzi please? Kikubwa ni kwenda kwenye personal page ya muhusika na kupata threads zake alizozianzisha ili upate nafasi ya kufanya uamuzi juu ya michango yake na nafasi yake katika mchakato.
 
Sasa mimi itakuwaje? maana thread zangu nyingi nikianzisha hazikai hata siku tatu, zinafutwa, eti zinahatarisha usalama wa taifa. sasa wadau mtanipigiaje kura wakati sina kitu cha kuonyesha?

Chifunaga, hupendekezwi kwa kuwa umeanzisha threads nyingi bali kutokana na posts zako au michango yako na kama ina impact yoyote.
 
Good idea Mkuu.

Sasa unashauri nini as Way Forward?
 
Well kwa wanaume napendekeza wafuatao NYANI NGABU, WABEROYA, KIRANGA,ACID, REV.KISHOKA, MWANAKIJIJI na kwa wanawake napendekeza MWANAJAMIIONE
mKUU NAONA UMEAMUA KUHARIBU KURA YAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…