Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Update 1 sasa inapatikana katika main thread.
Oooh yeah....ninaongoza kwa kura na kama demokrasia ikichukua mkondo wake bila uchakachuaji nitajizolea kitita changu cha shilingi 100,000/= taslimu kutoka kwa mzalendo Sanctus Mtsimbe...
1. Acid - Kura 2
2. Kiranga - Kura 2
3. Mwanakijiji - Kura 2
4. Nyani Ngabu - Kura 3[/COLOR]
Mimi niliyependekezwa kwa kura nyingi umeniweka wa mwisho katika orodha!! Kwa nini? Huo ndiyo uchakachuaje wenyewe sasa kwa sababu hiyo inawapa impression wapiga kura kuwa mimi ni wa mwisho na hivyo kuathiri au kuinfluence upigaji kura wao.

Superman,
Mbona category female ina wagombea wachache kuliko category male?
Mzee Nyani Ngabu pamoja na umaarufu na postings zote hizo mbona bado haujakuwa Premium Member?
Mimi niliyependekezwa kwa kura nyingi umeniweka wa mwisho katika orodha!! Kwa nini? Huo ndiyo uchakachuaje wenyewe sasa kwa sababu hiyo inawapa impression wapiga kura kuwa mimi ni wa mwisho na hivyo kuathiri au kuinfluence upigaji kura wao.
NN Kampeni hairuhusiwi. Huu uchaguzi tayari siyo "huru na haki"!
Aisee kumbe mambo yameiva tayari mhhh kura nampa Dad and Mum lol:teeth::teeth::teeth:
Yakhe nadhani unahitaji miwani.....hebu rudi ucheki uone mimi ni member wa aina gani......
Kura vipi, ushanipigia?