JF women and all others

this the finest guy seems to be romantic.
asante sana.

Usisahau kuwa ni member mzuri sana wa ISC, ...ni kiongozi wa juu kabisa (Kingunge mkubwa sana). Ukijua kucheza na maneno kila kitu kinakuwa mswano saaana!
 
Usisahau kuwa ni member mzuri sana wa ISC, ...ni kiongozi wa juu kabisa (Kingunge mkubwa sana). Ukijua kucheza na maneno kila kitu kinakuwa mswano saaana!

nasikia memba hasa viongozi wa ISC wana-masterz za kububujisha maneno MATAMU
 
nasikia memba hasa viongozi wa ISC wana-masterz za kububujisha maneno MATAMU

Bila kuwa hivyo hujahitimu na mambo yako yatakwama. Naona hata wewe unakaribia kupachikwa ile kofia kichwani.

Tres bien!
 
Usisahau kuwa ni member mzuri sana wa ISC, ...ni kiongozi wa juu kabisa (Kingunge mkubwa sana). Ukijua kucheza na maneno kila kitu kinakuwa mswano saaana!

:doh::doh::doh::doh::doh:
 
mercy.
hapo pa pink ushindwe na ulogee

Kwa umri huu tumeshayazoea. Kwa hiyo usijali baby...!!!

Kwenye haya mambo ukipata jibu la NDIYO ni sawa na laana. It's ok...

Nishindwe na kulegeeeeee.....Nishindwe na kulegeeeeee....Nishindwe na kulegeeeeee....Nishindwe na kulegeeeeee....

ila mwishowe unakuta nimeshinda na kukamaa. Nadhani watalamu wa lugha kwenye ISC wanayajua vizuri haya!!
 
uuhhh Finest....I love you....
 
Oh my days!! how did i miss this???? Sounds great!! but do they real mean what they say or promise???
 
Dah!!!! I love them too them ladies ngoja nitafute kawimbo special for this weekend
 
Naona kitu kimepandishwa siku muafaka..... TGIF!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…