JF women and all others

JF women and all others

Nimeona status ya walimu wa mazoezi na wa massage parlour angalia usifall into their trap maana gym na salon na massage parlour siku hizi zina vyumba kwa watu single kama wewe

Mnaanza mambo zenu za kukimbia nyumbani kwa wazazi wenu??
Mr. Rocky hebu angalia hawa watoto sijui wanatafuta nyumba
iliyopika wali maana wameona hapa kila siku ugali
Duh!!! Mna mijicho nyie
 
Mnaanza mambo zenu za kukimbia nyumbani kwa wazazi wenu??
Mr. Rocky hebu angalia hawa watoto sijui wanatafuta nyumba
iliyopika wali maana wameona hapa kila siku ugali

Nishamzoea huyu kila siku kukimbia nyumbani
Na anavyopenda kwenda kwa watu ndo maana kila siku anakuwa wa kwanza yeye kutafuta na kuita watu ili wamwalike
 
sema tf siku hz hayupo tena kwenye mashairi hayo nasikia ni mcheza kiduku mashauzi classic

Mimi hapo kwenye kucheza kiduku sijasema
Kikiporomoka mie sipo kukutetea maana TF ana hasira za kihehe utashangaa badala ya kukugombeza wewe anaenda kujinyonga
 
Back
Top Bottom