The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
- Thread starter

- #121
Nimeona status ya walimu wa mazoezi na wa massage parlour angalia usifall into their trap maana gym na salon na massage parlour siku hizi zina vyumba kwa watu single kama wewe
Duh!!! Mna mijicho nyieMnaanza mambo zenu za kukimbia nyumbani kwa wazazi wenu??
Mr. Rocky hebu angalia hawa watoto sijui wanatafuta nyumba
iliyopika wali maana wameona hapa kila siku ugali
Mnaanza mambo zenu za kukimbia nyumbani kwa wazazi wenu??
Mr. Rocky hebu angalia hawa watoto sijui wanatafuta nyumba
iliyopika wali maana wameona hapa kila siku ugali
Duh!!! Mna mijicho nyie
When you are in Love you can't fall asleepNilifikiri ushatoka kumbe upo
Aise angalia tuu leo hakuna nyumba wamepika wali ila ugali tena wa muhogo
When you are in Love you can't fall asleep
Hahaha!!! Mzee nilikuwa nachacheki signature yako nikawa nimeipendaWou hatimaye ndo maana leo umeadimika hivi
Congrats if at all u r in love
Hahaha!!! Mzee nilikuwa nachacheki signature yako nikawa nimeipenda
Amen amenHahahahahah
Ila utafikia kipindi hicho mkuu when u will be in love and u feel like dreaming
Ngoja nikutafutie mtu wa kumwimbiaAhsante sana finest,.. Ngoja nikariri hiyo mistari niwe najiimbia.

Ngoja nikutafutie mtu wa kumwimbia
Nimempata Klorokwin na Uporoto

fanya fasta.

Nimempata Klorokwin na Uporoto
mama tuli sio au ushageuka?TF wimbo umesimamaTo all women out there u deserve more and more love from Men I love you allTo my special one I love you
mama tuli sio au ushageuka?
your always in my heart swit brotherSmile tuko wawili hapa Hebu niambie proposal yangu inakubalika au ndo umenitosa Ukishasoma diliti :lol:
your always in my heart swit brother
sema tf siku hz hayupo tena kwenye mashairi hayo nasikia ni mcheza kiduku mashauzi classicThank you a lot dear Ila mashairi ya huo wimbo yamesimamana yanapendeza
sema tf siku hz hayupo tena kwenye mashairi hayo nasikia ni mcheza kiduku mashauzi classic