JF women and all others

Mimi hapo kwenye kucheza kiduku sijasema Kikiporomoka mie sipo kukutetea maana TF ana hasira za kihehe utashangaa badala ya kukugombeza wewe anaenda kujinyonga
ajinyonge tu kwani uongo bana? tena nasikia yupo tempo ananengua twanga pepeta na kuimba solo maana mashauzi classic yupo likizo
 
ajinyonge tu kwani uongo bana? tena nasikia yupo tempo ananengua twanga pepeta na kuimba solo maana mashauzi classic yupo likizo

Hapa unatafuta ugomvi wa bure
TF na kitambi chote kile ananengua si ni soo hiyo
 
Asante kaka I loooooooooove this song nimejipromise itakuwa first dance siku nikipata mume mwema!!
 
pia ni designer wa wale wanaoitwa kanga moja ndembendebe kijana ana vipaji sana

Mhhh kijana ana vipaji mbaya kabisa huyu
Ngoja nimtafute
Si anajua kupamba pia kwenye sherehe hivi
 
sema tf siku hz hayupo tena kwenye mashairi hayo nasikia ni mcheza kiduku mashauzi classic

Mimi hapo kwenye kucheza kiduku sijasema
Kikiporomoka mie sipo kukutetea maana TF ana hasira za kihehe utashangaa badala ya kukugombeza wewe anaenda kujinyonga

ajinyonge tu kwani uongo bana? tena nasikia yupo tempo ananengua twanga pepeta na kuimba solo maana mashauzi classic yupo likizo

Hapa unatafuta ugomvi wa bure
TF na kitambi chote kile ananengua si ni soo hiyo

sometimes anapiga solo maana hawezi kunengua mwanzo mwisho

Ngoja nitaenda kwenye band hapo niangalie kinachoendelea

pia ni designer wa wale wanaoitwa kanga moja ndembendebe kijana ana vipaji sana

Mhhh kijana ana vipaji mbaya kabisa huyu
Ngoja nimtafute
Si anajua kupamba pia kwenye sherehe hivi

anapamba hadi mabibi harusi na kuwavalisha shanga
:confused2::confused2::confused2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…