Tanzania 1
Senior Member
- Oct 4, 2007
- 197
- 25
Tanzania 1 Re: JF yapata ushindi mwingine dhidi ya ufisadi
Hivi kuna ushahidi kuwa hili ni matokeo ya kazi ya JF, au tunataka kudandia sifa za wengine? Tusiwe tunajisifu kwa sifa tusizostahili, badala yake tujikosoe pale tunapoteleza.
Kuna mambo tulijifunza tuliposhughulikia suala la vijana wa Ukraine, mpambanaji asiyeadjust mbinu zake hafai kupambana. JF (na hapa tuna maana wanachama.. and believe me wapo wenye ujiko wao..) wameshiriki kwa namna ya ajabu na majina yao yatabakia nameless. Sasa, mna uamuzi wa kukubali au kukataa it doesn't matter kilichotakiwa kufanyika kimefanyika.
Hivi kuna ushahidi kuwa hili ni matokeo ya kazi ya JF, au tunataka kudandia sifa za wengine?
Tusiwe tunajisifu kwa sifa tusizostahili...
Ahsante Tanzania 1 kwa uzalendo wako wa dhati na kwa kuinua gravitas ya mdahalo.
Bahati mbaya wanasema mambo mengine tuyaache kama yalivyo. Tupunguze jazba na malumbano. Tukitaka tuwasiliane nao pembeni pembeni watuambie ni kiongozi gani waliongea nae na ilikuwaje wanafunzi wakarudishwa.
Lakini viongozi wengi tunao wasulubu hapa nao wanaona ni jazba na malumbano, na kufuaitilia vitu vidogo vidogo. Kwa mfano, kutoka kwenye thread moja ya leo, Mtanzania wa kawaida anaweza asione ubaya wa kampuni ya Maji kutangaza jina la mkwepa bili. Lakini sisi tumekemea hili kama ni kuingilia mambo binafsi.
Hatuwezi kufuatilia vitu vidogo vidogo kwa wengine halafu sisi tukataka simile katika kutakana ukweli. Tutakosa uaminifu. Sio kwamba tunasaliti misheni yetu dhidi ya uozo wa Serikali na Mafisadi, isipokuwa tunataka baraza liwe na gravitas. Tunaposema, ngoja kidogo, hiyo sifa sio yetu, tunaonyesha objectivity. Objectivity itakayotusaidia siku tukisema 'Lodi Lofa jiuzulu,' kwamba haitaonekana kama ni 'jazba na malumbano ya kufuatilia vitu vidogo.'
Uwajibikaji unaanzia kwetu wenyewe, na kidogo kuliko vyote tunacho weza kufanya sisi 'arm-chair critics' ni pamoja na kuwa wakweli. Vinginevyo tutaonekana tunakaa nyuma ya vioo vya Komputa kubwabwaja tu, kama alivyo tuasa Mama Mwanaidi Maajar, ubalozi wa London. Sio kwamba ni malumbano na jazba na kufuatilia vitu vidogo, ila ni kutaka kujipima wenyewe katika viwango vile vile tunavyo wapima wengine.
Tanzania 1 ahsante tena kwa uzalendo wako.
Vijana wamerudishwa chuoni kufuatia maombi ya uongozi wa DARUSO kukubaliwa na Prof. Maghembe, kumekuwa pia na majadiliano kati ya uongozi wa Chuo na DARUSO kuhusu huu mgogoro. Kwanini tusimpongeze waziri, viongozi wa DARUSO au hata viongozi wa Chuo? But instead, all the credit goes to JF! Excellent job! Kuna mambo mengi tunayostahili kujifagilia but am afraid this isnt one of them.
Una hakika kuwa viongozi wa Daruso sio members wa JF? Wewe kwa mawazo yako unadhani JF ni nani?
Ina matatizo gani wakati wakati hamna cha maaana mnachokifanya, zaidi ya mtu mmoja asiye na kazi alifanywa mtumwa na Mbowe kushinda humu na majina mia moja. mwenzake Mbowe anakuraha raha na mvuta bangi wake yeye anakesha humu kwa dola elfu mbili za website kawa kama mfanya kazi wa ndani ambaye hajui anaanza kazi saa ngapi na kumaliza saa ngapi.kaka kasome utapata kazi wenzako kina Masha Lawrance walitumia nafasi hizo kwa kusoma sio kuchambisha wazungu na kushinda JF.Naona watu mnajitafutia ujiko msiokuwa nao. Wenzenu siku hizi JF wameamua kuipuuzia; mmeshazua matatizo yanayotosha kwa viongozi.
asante.
Hivi mnafikiri vijana wa UDSM walikuwa wajinga kuja hapa kuomba msaada wa JF..........
Kilichofanyika...watu walio serious waliwauliza wanafunzi maswali ya msingi ili kuona watasaidiwa vipi......then serious people of JF took it from there.......trust me kuna wabunge humu ni member ndani ya CCM na upinzani, kuna walimu maprof wa UDSM wenyewe ni member hapa......hata Mukandala mwenyewe ananusa nusa humu........na hoja za hapa anazifahamu na anazipata kuanzia REDET yake mpaka tukio hili la sasa.......
......so guys sio kwamba JF hapa tunatafuta sifa NO.......tulishaweka misimamo yetu hapa na tukaisimamia na baadhi yetu hapa tukawashukia huko huko waliko............
msisahau pia kuwa JF tulialaani vitendo viovu vya wanafunzi vya kuvunja vitu visivyowaletea faida ktk kudai yanayowastahili.......na pia tulilaani vitendo vya serikali kutumia nguvu za dola kupiga wanafunzi wasio na hatia na akina mama wajawazito
.....kama hamuijui JF muulizeni Manumba, Mwema na RO walivyo na wanavyo haha na members wetu.......and i know is not overt yet because they still feel the JF pressure.......kutoka katka kila angle from Top to bottom and from everywhere in the world
Ina matatizo gani wakati wakati hamna cha maaana mnachokifanya, zaidi ya mtu mmoja asiye na kazi alifanywa mtumwa na Mbowe kushinda humu na majina mia moja. mwenzake Mbowe anakuraha raha na mvuta bangi wake yeye anakesha humu kwa dola elfu mbili za website kawa kama mfanya kazi wa ndani ambaye hajui anaanza kazi saa ngapi na kumaliza saa ngapi.kaka kasome utapata kazi wenzako kina Masha Lawrance walitumia nafasi hizo kwa kusoma sio kuchambisha wazungu na kushinda JF.
Naona watu mnajitafutia ujiko msiokuwa nao. Wenzenu siku hizi JF wameamua kuipuuzia; mmeshazua matatizo yanayotosha kwa viongozi.
asante.
Naona watu mnajitafutia ujiko msiokuwa nao. Wenzenu siku hizi JF wameamua kuipuuzia; mmeshazua matatizo yanayotosha kwa viongozi.
asante.
watu wengine kwa kupenda sifa. Sasa unataka watu wakuamini kuwa ulifanya chochote kuwasaidia hawa vijana?