JF's Stressed member of the year

JF's Stressed member of the year

Nduka

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2008
Posts
8,553
Reaction score
2,380
Haya ni matokeo ya jumla baadaya kupitia kila jukwaa, kila post, na maoni kadhaa niliyoyakusanya kwa PM. Washiriki ni members wote na kama nilivyosema awali kipimo ni post zao na reaction kutoka kwa member wengine. Kitu pekee ambacho ni maoni yangu binafsi ni hitimisho.

Mabibi na mabwana napenda kwa heshima na taadhima kumtangaza mshindi wa kipengele cha mwanachama wa Jamii forums mwenye msongo mkubwa wa mawazo na mgandamizo kwa mwaka 2012. Na mshindi ni ndugu:
Molemo :violin:

Hitimisho:
Kwa maoni yangu binafsi ushindi wa ndugu Molemo unatokana na kujivika vizigo la kutetea watu bila kujali misingi.
NB: taarifa hii haisuhu siasa wala haina uhusiano wa moja kwa moja na masuala ya kisiasa. Nimeiweka hapa kwa makusudi maalum.
 
Mkuu Nduka,
Nakubaliana na maoni yako huu jamaa ni kiboko kajibebesha zigo lote la Chadema siku Chadema wakishindwa uchaguzi kuna uwezekano mkubwa akapatwa na ugonjwa wa moyo.
 
Last edited by a moderator:
Vipi kuhusu Ritz ??

Mkuu utafiti nilioufanya ulimuweka pia Ritz kwenye nominees, ila ukimlinganisha na mshindi yeye amekuwa akisimama zaidi kwenye misingi fulani anayoimini hivyo kujiweka salama kwenye kuyumbishwa. Halafu ni nadra sana kumkuta akihamaki na kutoa lugha za kukera hata pale alipojibiwa hivyo kitu kinachoonesha kutokuwa na stress.
 
Kwa mwaka huu kama upo usisahau Lukasi Mwashambwa!
 
Back
Top Bottom