JFuuuu!!Tembea uone kua uyaone!

JFuuuu!!Tembea uone kua uyaone!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Kumbe JF unaweza kutongoza dume lenzako???!!Na Avatar mzionazo za kike ni minjemba nimefanikiwa lijamaa limoja kwenye ofisi moja ya huduma kwa wateja nikaenda kutafuta huduma nikawa na chabo pc yake kuangalia kule juu kushoto nikaona user name ya kike na avatar yakike hajui mimi ni mwana jf nikawa nacheka kwa kuvaibrate asinigundue ila ni linjemba hivyo kuweni makini!!Swali kwanini umifanye Demu??
 
Unajuaje alikua hatumii ID ya mpenzi au rafiki yake?Au kama alikua anachungulia profile ya mtu mwingine!
 
hili nalo neno.....yote yanawezekana....
 
Bado sijakuelewa mkuu, ulijuaje kama ni ID yake? Ukifungua JF kwenye computer yako unachokiona siyo ID yako peke yako, wakati mwingine hata ID yako inaweza isiwepo
 
mmmh,cheka wee kisukari,chai bila sukari hainogi,nyoka hana kiuno shanga za nini?ahsante kwa kutushtua
 
Unajuaje alikua hatumii ID ya mpenzi au rafiki yake?Au kama alikua anachungulia profile ya mtu mwingine!
Ukifungua kwa juu kushoto utaona user name uwezikuwa unatembelea profile ya mtu ukakuta user name! Kwani jf kunani mpaka mpeane pswrd??wakati huku nisehemu ya kujiachia kwanini ugawe uhuru wako??
 
Bado sijakuelewa mkuu, ulijuaje kama ni ID yake? Ukifungua JF kwenye computer yako unachokiona siyo ID yako peke yako, wakati mwingine hata ID yako inaweza isiwepo
Ukifungua uka log in kushoto unakuta wellcome Kakakiiza means ni ID yangu na nimelog in!!
 
Ukifungua kwa juu kushoto utaona user name uwezikuwa unatembelea profile ya mtu ukakuta user name! Kwani jf kunani mpaka mpeane pswrd??wakati huku nisehemu ya kujiachia kwanini ugawe uhuru wako??

Wanagawa kwasababu hawapungukiwi kitu!!
 
Ukifungua uka log in kushoto unakuta wellcome Kakakiiza means ni ID yangu na nimelog in!!

Wewe umesema na avator ya kike! Na je kama hiyo computer ilikuwa ya mfanyakazi mwenzake wa kike kwamba yeye alikaa hapo temporarily
 
najua nitakueleza utanielewa tuu....sina hofu na wewe
Halafu na J3 ulete maurembo yako hayo hayo...tutakususia mguu mzima wa mbuzi pale kwa Morombo!...Umepata pm ya nanihiino eeh?
 
Yah nimepata....mkinisusia mguu si naula mwenyewe.....wote
 
Back
Top Bottom