KingOligarchy
Senior Member
- Sep 28, 2013
- 139
- 375
Habari wanajamvi,
leo nawaletea banda la biashara .
Banda hili sifa yake kuu ni movable, lina matairi! so unbaweza ukawa unaligogeza kwenye maeneo unayoyataka
lina jiko la Gas kama unavyoona, hvyo unaweza kupika kitu chochote
lina mchine ya kukata viazi, commercial chips cutter
lina potato spiral machine (Hapa ndo kwenye uzuri) ntawaelezea business model hapo chini
Lina Solar , unaweza chaji chochote
Lina mfumo wa taa 5 zilizofanyiwa wiring vizuri
Gharama ya banda hili ni tsh 1,500,000.00 ( non negotiatable* hapa nimepunguza bei kutoka ya awali )
Mawasiliano: +255 742 77 77 68 (whatsapp only )
Biashara unayoweza ukafanya
Potato spiral
Hii ni biashara nzuri sana , ambapo kwa kutumia hiyo machine nayokupa inakata kiazi kimoja na kujaa kama mshikaki, ambapo pia unaweza ukaweka na sausage.
sehemu za kishua unaweza kuuza kw tsh 1000 , kwahiyo kwa pisi 30 kwa siku utakuwa na 30,000 lakini pia ukipata sehemu zenye watu wengi sana pisi moja unaweza uza tsh 5,00 . kuanzia asubuhi mpaka jioni ukiuza pisi 100 utakuwa na ghafi ya 50,000 (inategemea na eneo). Kwahyo itakuwezsha kutengza kipato kizuri na kujiajiri
ANGALIA MFANO:
COMMERCIAL MACHINE CUTTER
Hii machine husaidia kukata viazi , unaweza ukauza chps fasta kwa kukata viazi fasta
ina viwembe vya size tofauti tofauti
ona mfano: