Jiajiri kwa mtaji chini ya Shilingi 50,000 na utengeneze faida mpaka 20,000 au zaidi kwa siku

Boss vipi kuhusu changamoto ya Uaminifu familia nyingii mindset zao ni kuibiwa tu wewe unalitatuaje hili?
 
Boss vipi kuhusu changamoto ya Uaminifu familia nyingii mindset zao ni kuibiwa tu wewe unalitatuaje hili?
Hilo mkuu kinacho fanyika.
1.Vaa smart na muonekano wako uwe smart.
2.Salam nzuri ya heshima,si kuanza tu mambo vipi? Niaje? Mwambie shikamoo baba/mama, habari ya saizi dada/kaka.
Kabla ya jambo linalo fuata anza na neno
samahani kwa usumbufu,Kisha
3.Jitambulishe kwa mteja wako kwa wateja wote wa majumbani au Hotelini,jina lako,unatokea wapi,na kwanini ume kuja kwake ndo una elezea huduma/bidhaa zako
4.Kumsikiliza mteja wako baada ya utambulisho huo huku ukiwa na tabasam la unyenyekevu.
5.Usianze kuelezea bidhaa zako/huduma zako kabla ya Salam na kujitambulisha kwa mteja.
Hakuna mteja niliye wahi kutana naye akani hisi mwizi,ama mdokozi kwa njia hizo wengi wana nipa tenda kwenye Nyumba zao na wanakuwa mbali na nyumba na pia katika Hotel,hakuna shida maana kila sehemu kwa kiasi kikubwa wame weka Security Camera.
 
Samahani unaweza kunifundisha jinsi ya kutengeneza hizo dawa
 
Hongera bro kuwa na moyo wa kutoa kile ulichonacho, hii inaonesha jinsi moyo wako ulivyo mweupe

Kwa makala hii nimeona mdau wa humu humu JF umebadili maisha yake na haishi kukuombea dua kila uchwao

Mungu akubariki sana na akuongee palipo pungua.
 
Hongera bro kuwa na moyo wa kutoa kile ulichonacho, hii inaonesha jinsi moyo wako ulivyo mweupe

Kwa makala hii nimeona mdau wa humu humu JF umebadili maisha yake na haishi kukuombea dua kila uchwao

Mungu akubariki sana na akuongee palipo pungua.
Amina nashukururu kwa hilo mkuu
 
Hakika hii ni fursa na inahitaji jitihada na kujiongeza sana.
Mimi kama mtoa mada nisingeishia hapo kwenye sofa, tiles, na masink bali hata usafi wa vifaa vingine na kuongeza wafanyakazi tuwe team work.

Ila hongera kwa idea nzuri. God bless you abundantly.
 
Amina nashukururu kwa hilo mkuu tuko pamoja
 
SME nikampuni ya uhakika kutoka Marekani inayolipa kwa masaa, kwa siku, kwa wiki, kwa mwezi, miezi hadi mwakaa

Naweza kujiungaje??

Jisajili kwa line yako kisha downlod App ya kampuni utakutana na offa yako ya Tsh 10,000/= iwekeze ukitaka uanze kuvuna faida πŸ€‘πŸ€‘

Malipo hufanyikaje??

Malipo yote hufanyika Kwa njia mbili kama ifuatavyoπŸ‘‡

M PESA na mfumo wa USDT Kwa wale wenye Wallet

Vifurushi vyake vikoje??

Baadhi ya vifurushi vyake ni hivii hapa πŸ‘‡

Ukiweka Tshs 30,000/= utapokea sh. 1440 kila siku kwa siku 7 kwa muda wa wiki 5

Ukiweka Tshs 80,000/= utapokea she 4320/= kila siku kwa mda wa siku 15 kwa muda wa wiki 10

Ukiweka Tshs 200,000/= unapokea shs 12,000/= kila sikuu kwa siku 30 kwa miezi mitano

Ukiweka Tshs 500,000/= Utapokea shs 34,000/= kila sikuu kwasiku 60 kwa miezi 10

Utawekeza tena na tenaa

Withdrawal

Kiwango cha chini cha utoaji ni Tsh 5000/= kwa njia ya m-pesa au USDT

withdrawal fee ni 15%

Jisajiri link


Ingia kwa group πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…