Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza Biashara ya kuuza Chapati.
Nenda kaulize haya.
Bei ya ngano 1kg.
1kg inatoa chapati ngapi?
Chapati moja ni Bei gani?
Chukua tenda ya kupeleka vitafunwa maofisini asubuhi.
Najua utadharau lakini kwa mtaji wako biashara utakayofanya lazima ufanane na hii.
ni kweli nguruwe au kuku wa kienyeji wanaweza fugwa kwa unafuu sana kwa kuwalisha vyakula vinavyobaki nyumbani au shambani,Nataka kufuga kuku au nguruwe na nimgeni katika ufugaji je nifanyeje wana jf?
anza ufugaji wa sungura,🙂