Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kutokana na uchafuzi wa mazingira uliokithiri anga zao zinakuwa na chemicals zinazosababisha yote hayo. Kimazingira sio kitu cha kutamani kitokee Tanzania.Kila jambo la kushangaza linatokea U.S au China, ina maana Tanzania hawakujui?