Ji’an, Jiangxi China: Mawingu ya rangi angani

Hii picha mwanangu kideli aliipiga tu babuu si unajua stimu zilimzidi kideli😂😂
 
Sasa Hayo Mawingu Yana Jipya Lolote Ama Kawaida Tu
 
Kila jambo la kushangaza linatokea U.S au China, ina maana Tanzania hawakujui?
 
Kila jambo la kushangaza linatokea U.S au China, ina maana Tanzania hawakujui?
Ni kutokana na uchafuzi wa mazingira uliokithiri anga zao zinakuwa na chemicals zinazosababisha yote hayo. Kimazingira sio kitu cha kutamani kitokee Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…