Jiandae mwezi huu jua litapatwa pamoja na mwezi utakua mwekundu kama damu

Jiandae mwezi huu jua litapatwa pamoja na mwezi utakua mwekundu kama damu

Hizi mambo zilifanya wale ndugu zetu wa Mbeya kuipongeza Serikali ya awamu ya tano kwa kuwapelekea kupatwa kwa jua Mbalari.

Tena wakaiomba awamu zijazo waangalie na sehemu nyinginezo.
 
Kwani wewe hujui kuwa tukio zima mpaka tunapata mvua sayansi tosha?au We una amini katika mungu!?
Nitafute siku nyengine nikufundishe kuhusu sayansi, Mungu na ulimwengu halafu ndo utaelewa mimi nasimama na nini!.. japo kama unaweza kutafuta nyuzi zangu zipo na nilishaeleza kila kitu kuhusu ninachoamini na nisichoamini!.. sasahivi naenda kwa mshangazi usinivuruge ukaniharibia mood nikashindwa kwenda kuila vizuri nikashusha cv!
 
Hiya jua kupatwa inaitwa SOLAR ECLIPSE ambapo Mwezi huwa katikati ya Jua na Dunia. Kwa kuwa mwezi huwa katikati huzuia mwanga wa jua kutua duniani, kunakuwa giza japo ni mchana. Hii ya mwezi kuwa mwenkundu naachia wengine waeleze. Wale wa imani za kidini nao wataeleza yao tusiwapuuze
 
Unakuwa mwekundu kwa sababu dhambi za Dunia zimekuwa nyingi.......kumbuka kile kinvuli ni Cha dunia.

Ndio mtajua Imani Ina nguvu....
 
Mpaka mida hii sijaona chochote au jua litapatwa usiku sana!
 
Back
Top Bottom