njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Yes kesho by mchana au saa kumi kutakuwa na press conference ya kupotezea tukio zito la leo la simba kutoa kichapo cha mbwa mwizi kwa wa niger
Kabla ya press conference hiyo tarajia HABARI ZA UZUSHI KUANZIA ASUBUHI ZITAKAZOSAMBZWA NA MAKANJANJA kwamba GSM washakubaliana kumsajili Adebayor wa UGSN na Yacouba sogne kamshawishi Stephane ki aziz wa asec mimosah kujiunga na wana utopwinyo kwa sababu wote wanatoka taifa la Burkina faso.
Usihangae pia kusikia Steve nyerere anachaguliwa rasmi kuwa mhamasishaji wa kilabu hicho cheny kupenda mwiko uwe nyuma.
Usisahau makanjanja yatafanya kazi nzito sana kuanzia asubuhi ili ushindi wa simba na kuibeba nchi kwa mara ya tatu kuingiza teams 4 Africa isiwe habari nzito.
Niwakumbushe tu katika majirani zetu walioweza kuingiza teams 4 michuano ya CAf ni Congo DRC, Sudan basi kwa hapa ni simba pekee iliyofanikisha hilo mara tatu.