Jibebe ya WCB ibebwe tu na BASATA

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Kiukweli nawakubali sana wcb ila wanakoelekea naona wanatuharibia maadili maana jana nimefedheheka sana.

Jana nlikuwa nacheki hii video na mtoto wa ndugu yangu ambae huwa ananiuliza maswali sana ambayo nilikosa cha kumjibu maan majibu yake yamenyoka ila sikuweza kumjibu, Diamond verse yake katumia lugha ya jawaida ila hawa kina lavalava na mbosso wameimba vitu ambavyo ni vya kij*nga sana na lawama yote iende kwa C.E.O wao Diamond aliyewaruhusu waimbe ujinga mtupu.

mushedede ni nini?
mushedede mtukutu unazamaje kwenye kisima?
kaka kaka (najidai nipo busy na simu) kasema atamshindua na miuno aisha, kushindua ni nini?
mwendo wa kwachu kwachu kitandani ukoje?
Eh, kaka kumbe jusi bichwa linasafishaga mtaro, likoje na huo mtaro ukoje
Kaka, kumbe fatuma jirani yetu nyuma ana fungu 2 zenye nyanya za sasaro?

BASATA MPO WAPI??? HII NYIMBO IFUNGIWE TU JAPO MI NI SHABIKI WA WCB.
 
Mi cjaielewaga ile anaimba "paka mate niteleze km nyoka pangoni".....na nyie mnawapigia makofi tu.

Yajayo Yanafurahisha.
 
Uyo mtoto ni kilaza kiasi gani hata mtaro haujui/hajawahi kuona
huyo mtoto hana kazi za kufanya na utu uzima wangu wala sijawah kaa nkasikiliza wanaimba nini?

ila mtoto anakosa kazi ya kufanya anakariri hadi mistari. hana kazi ya kufanya huyo

badala uhangaike kumfunza mtoto kufanya mambo ya msingi anatoa lawama kwa watafutaji wa hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…