Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Ndo mana mavoko kaamua kuondoka maana anaona tabia hazindani nao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika mavoko kaondoka ?Ndo mana mavoko kaamua kuondoka maana anaona tabia hazindani nao
Nilishasema Tanzania kuna mahitla Mengi sana.Hicho kikundi ningekuwa na uwezo ningekipiga marufuku
Team Mo Faya ktk ubora wako, kwani wewe kwachu kwachu umeelewaje?!halafu kwa nini unawaacha wanao wanasikiliza yasiyo wahusu!? Tafsida ndo imetumika sana humo ni wewe tu na mawazo yako ya kingonongono tu!Yaan WCB ni wale wale yaan wamefunga utupu wa kupindukia kwenye Video yao ya JIBEBE ila wameweka utupu tena mkubwa kwenye MNeno yao ya Wimbo ....
lavalava
kitandani mwendo wa kwachu kwachu....
najiuliza unaangalia huo wimbo mkekaa na mtoto anakuuliz baba kwakukwach kitandani ndo ikoje...sijui utamjibu nini [emoji33][emoji33]
mbosso
du haya maneno aise aliyo yaimba mbosso hata kunukuu tu naona uzito ....
kiukwel WCB wanapambania vipaji vyao ila wanako enda wanavua nguo kabisa
cjui watoto wanajifunza nn ila kizazi kinacho kuja wazazi watapata tabu sana
Ji be be be asaa jibebee
Hata mzazi alikua mtotoKama mtoto wako, anaangalia bongofleva huyo kichwani ni bogus
Unataka kusema mavoko yeye kaenda kuimba kaswida!!!??Ndo mana mavoko kaamua kuondoka maana anaona tabia hazindani nao
😀😀😀 uje unibebe mkuu, siwezi kujibeba!Ji be be be asaa jibebee