Jibebe ya WCB ibebwe tu na BASATA

Jibebe ya WCB ibebwe tu na BASATA

Yaan WCB ni wale wale yaan wamefunga utupu wa kupindukia kwenye Video yao ya JIBEBE ila wameweka utupu tena mkubwa kwenye MNeno yao ya Wimbo ....

lavalava

kitandani mwendo wa kwachu kwachu....
najiuliza unaangalia huo wimbo mkekaa na mtoto anakuuliz baba kwakukwach kitandani ndo ikoje...sijui utamjibu nini [emoji33][emoji33]

mbosso

du haya maneno aise aliyo yaimba mbosso hata kunukuu tu naona uzito ....

kiukwel WCB wanapambania vipaji vyao ila wanako enda wanavua nguo kabisa

cjui watoto wanajifunza nn ila kizazi kinacho kuja wazazi watapata tabu sana
Team Mo Faya ktk ubora wako, kwani wewe kwachu kwachu umeelewaje?!halafu kwa nini unawaacha wanao wanasikiliza yasiyo wahusu!? Tafsida ndo imetumika sana humo ni wewe tu na mawazo yako ya kingonongono tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mtoto wako, anaangalia bongofleva huyo kichwani ni bogus
 
Back
Top Bottom