JIBU FINANCIAL SERVICES arusha

JIBU FINANCIAL SERVICES arusha

Smallfish

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2012
Posts
241
Reaction score
66
Hii kamuni iko Arusha na inascheme kama ya DESI.Unarusisawa kupanda bila kuzuna.Niliwatembelea siku moja mitaa ya Kijenge kujua kulikoni lakini maelezo ya wahusika hayana msikom wa kisheria

Wadua wa FM fatilieni kuona kanuni zinazotumika
 
Smallfish....No research no right to speak, Confirm and reconfirm. Do your homework before kuja hapa. wewe umetuambia Deci scheme, then unataka tufanye research.

In short JIBU Group ipo kisheria. and Sisi wateja tunaendelea kufaidika kwa kuikopesha JIBU na JIBU ikiendelea kukopesha waitajio pesa.

Watanzania wengi tunakuwa na mlengo hasi wa juhudi za watanzania wenzetu.
 
Smarter,tungependa kujua kanuni za kuwakopesha na security iliopo.I had a minor research including interview na one Director and confirm that If you believe on their scheme unaweza kuwakoesha ila hawana security kwa anaewakopesha.
Hata Deci ilipewa baraka ya Waziri wa Fedha na baadae waliikataa.
is it apertnership or comany.Vitabu vyao vya kifedha vimekaguliwa lini and with which auditing firm.
WE NEED TO SHADE LIGHT TO COMMUNITY WITH LITTLE A EDUCATION WE HAVE.
Mkuu tuelimishe tupande
 
Nafikiri sasa ni wakati wa kufikiri nje ya Box. Unaona Microfinance nyingi, Blue Finance, Mwananchi, Opportunity etc. Umewahi jiuliza pesa wanazokopesha wanazitoa wapi?, Je ni kwasababu hujui walizozipata?

Je, Unapo deposit pesa zako Bank ( Be it NBC, SCB, Twiga, NMB) huwa security ni nini?. Naelewa nad nakubali tunajadili ili mwisho wa siku tujenge na tujenge kilicho bora kwa maslahi ya Watanzania walio wengi.

Pyramid Scheme. Kwa ufahamu wangu na mapokeo yangu ya mfumo huu ni kuwa, Mwisho wa siku wengi hukosa faida kutokana na wenda kutopata pesa za wachangiaji wapya.

Maana hii naamini si sahihi kwa mfumo ambao JIBU wanautumia kutimiza malengo yao, ambayo moja wapo ni kurahiisha upatikanaji wa pesa kwa wahitaji. Wao JIBU hukopesha kwa masharti yaliyo wazi na kwa riba, yaani ukikopa utarudisha kwa kiasi fulani chariba juu ya principal. Na vivyo hivyo ukiikopesha hii Kampuni wao watakulipa riba juu ya Principal uliyo wakopesha. Tofauti ya riba wanayotoza their borrower na riba wanayomlipa lennder wao ndio faida. Je Pyramid hapa iko wapi?

I stand to be corrected. Kwa mfumo wa Jibu, hakika ni mkombozi kwa wale wenye pesa and hawana mifumo rahisi ya kuwekeza, bila gharama kubwa za uendeshaji. Lakini pia kwa baadhi ya wengi ni mwiba hasa kwa ma Bank na taasisi zingine ambazo zinanyonya wateja kwa deposit interests ndogo sana kwani kuna hatari wateja wakakimbia.

Karibu tujadili kwa mapana zaidi.

Happy Easter Monday
 
Jibu Financial Services iko sehemu gani Kijenge,

Naomba mwenye anuani na namba zao.

Nataka nikakope Kati ya 500,000 na million moja.
 
Nimesikia hii kampuni ila bado sijapata taarifa zao vizuri isijekuwa kama DECI!!! Though mimi siyo pessimistic katika kuwekeza ila lazima nijipime vizuri kupunguza risk kabla ya kuwekeza. Natamani sana kuwakopesha hawa mabwana, more info. please kwa anayewafahamu au aliyewahi kuwakopesha interest ikoje, security ya hela yako inakuwaje?
 
Smarter,bado hela zako ziko salama?
Smallfish....No research no right to speak, Confirm and reconfirm. Do your homework before kuja hapa. wewe umetuambia Deci scheme, then unataka tufanye research.

In short JIBU Group ipo kisheria. and Sisi wateja tunaendelea kufaidika kwa kuikopesha JIBU na JIBU ikiendelea kukopesha waitajio pesa.

Watanzania wengi tunakuwa na mlengo hasi wa juhudi za watanzania wenzetu.
 
Hawa jamaa ni matapeli na kuna wana kikundi fulsni waliend kupanda Mbegu nz mpka sasa hawajapata chochote kwa kifupi imekula kwao, ni DECI to
 
Back
Top Bottom