Jibu gani baya uliwahi pewa wakati unatongoza hutakaa usahau?

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595

Me nakumbuka mwaka 2008 niliambiwa kuliko kukupa wewe mbunye yangu bora nikampe mbwa.

Nilikaa kimya kwa muda , nikawa Na sura ya upole mno.Sikumjibu kitu ila nikageuka kwa unyonge nikaondoka taratibu huku nikionyesha kuwa Na mawazo.

Akanionea huruma akaniambia simama G ........... Nisubiri

Ni jibu gani hilo hutokuja kusahau Na ulitokaje kwenye mtego huo?
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Dahhh! Ila anaendeleaje sasa hivi huko alipo
 
Mbona vijana mnapenda sana kujadili hadi vitu vya ovyo kiasi hiki.๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜  Tambueni wachache ndio wanao fedhehesha huu mtandao, this is not FACEBOOK wazee msipende kutengeneza uzi kiboya tu hvyo๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ 
Tusamehe mzee wetu CCM inatuchanganya
 
Mbona vijana mnapenda sana kujadili hadi vitu vya ovyo kiasi hiki.๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜  Tambueni wachache ndio wanao fedhehesha huu mtandao, this is not FACEBOOK wazee msipende kutengeneza uzi kiboya tu hvyo๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ 
CCM ndio wa kulaumiwa mkuu.
 
Mbona vijana mnapenda sana kujadili hadi vitu vya ovyo kiasi hiki.๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜  Tambueni wachache ndio wanao fedhehesha huu mtandao, this is not FACEBOOK wazee msipende kutengeneza uzi kiboya tu hvyo๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ 
Wewe wewe wewe hili ni jukwaa la MMU hapa tumespecialize kwenye uchakataji wa Mbususu na maFantasy

Nenda kadai katiba mpya kuna jukwaa lenu la katiba
 
Yule demu alimwambia rafiki yake yule mwanaume famba tu simkubali. Nikamtongoza mdogo wake akanikubali kuja kujua akawa anamjaza maneno tele ila mdogo mtu alinipenda sana. Kuona hawezi kututenganisha ghafla akaw ananipenda sio kwa swaga zile. .

Ila hata mdogo mtu nilipiga chini baada y kuona mama yao an roho mbaya sana. Jinsi alikuw anamnyanyasa sana mtoto wa kambo wa baba yao tena mtoto mkubwa wa miaka ishirini na. Dalili ya mvua ni mawingu. .
 
Duuuh
 
Me huwa napewa majibu ya "sitaki nataka" kwahiyo maamuzi yanabaki kwangu.
 
Mbona vijana mnapenda sana kujadili hadi vitu vya ovyo kiasi hiki.๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜  Tambueni wachache ndio wanao fedhehesha huu mtandao, this is not FACEBOOK wazee msipende kutengeneza uzi kiboya tu hvyo๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ 
Huu mtandao ni zaidi ya Facebook,humu kuna majukwaa mbalimbali ya kujadili mada mbalimbali,sasa jukwaa hili tujadili Mambo gani zaidi ya haya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ