Kweli aseeUtapata ulichokifanyia kazi...No pain No Gain.. No Risk No reward
yeahKweli asee
Si kweli kwamba kila mtu ana haki ya kupata anachokipenda.Unaweza usielewe kwanini nauliza hivi au ukaponda tu kama ilivyo kawaida ya wengi lakini jibu lako ni la muhimu sana.
Hivi kila mtu anahaki ya kupata anachokihitaji/kipenda??
Kama ni ndio, ni nini basi hupelekea mtu kusoka anacho kipenda??
Kama hapana si kila mtu, basi ni kina nani wenye haki ya kupata wavipendavyo??
Majibu tafadhali.