Jibu kwa kifupi tu.

Jibu kwa kifupi tu.

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Unaweza usielewe kwanini nauliza hivi au ukaponda tu kama ilivyo kawaida ya wengi lakini jibu lako ni la muhimu sana.

Hivi kila mtu anahaki ya kupata anachokihitaji/kipenda??
Kama ni ndio, ni nini basi hupelekea mtu kusoka anacho kipenda??
Kama hapana si kila mtu, basi ni kina nani wenye haki ya kupata wavipendavyo??

Majibu tafadhali.
 
Sio lazima upate ukipendacho na hakuna mwenye haki kukipata akipendacho
 
huwezi ukapata unachokipenda kila unapokihitaji
 
Duniani ukiwa masikini hupati unachotaka ila kinachopatikana. Na hata ukiwa tajiri bado kuna vitu hutavipata. eg afya, upendo etc.
 
Kila mtu ana haki ya kupata atakacho /apendacho.
Kuna mazingira ambayo huchangia kukosa Kile ukipendacho. Sasa hapo Inategemea unapenda /Unataka nini....
 
Unaweza usielewe kwanini nauliza hivi au ukaponda tu kama ilivyo kawaida ya wengi lakini jibu lako ni la muhimu sana.

Hivi kila mtu anahaki ya kupata anachokihitaji/kipenda??
Kama ni ndio, ni nini basi hupelekea mtu kusoka anacho kipenda??
Kama hapana si kila mtu, basi ni kina nani wenye haki ya kupata wavipendavyo??

Majibu tafadhali.
Si kweli kwamba kila mtu ana haki ya kupata anachokipenda.

Kuna wengine wachawi wanapenda kukula wewe nyama wacheze cheketu cheketu mahepe, nyamaya mtu ni tamu.

Nao utasema wana haki ya kukula wewe nyama kwa sababu wanapenda kula nyama yako?

Hakuna mwenye haki ya kupata akipendacho, ila kuna haki za watu fulani kupata vitu fulani.

Kwa mfano, "The Universal Declaration of Human Rights" limeelezea haki za binadamu wote tangu mwaka 1948

What is the Universal Declaration of Human Rights? | Australian Human Rights Commission
 
Back
Top Bottom