lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,146
- 3,425
Siku kadhaa nyuma member mwenzetu Mshana Jr aliibua hoja nzito akiuliza kwa namna gani wataweza kumsafisha??sababu kaharibu pakubwa sana, image yake imeharibiwa vibaya.mikataba,ukatili,Mauaji,uhuru wa kutoa maoni,ugomvi na viongozi wa dini,matumizi mabaya ya serikali,Kesi ya Lissu n.k,.
Mambo mengi yanayohitaji Maamuzi ya kimkakati chini yake mara zote tunawaona ana press kete Mbaya ambayo matokeo yake yanakuja kumchafua baadae,Lakini si ana washauri?wasomi,wajuzi, wabobevu,Magwiji wa kada zote,hawana macho ya kesho kuona tukimuweka lissu ndani, tiki steak mdude,tukimpiga askofu,nini kitatokea??Faida na hasara kwenye mzani, lipi la heri??
Wanajua wanachokifanya,hawataki kumsafisha,wanajua atashinda uchaguzi kwa namna yeyote, Je Lengo ni nini Haswa??
*Kufanya asiaminike na wananchi
*Kumgombanisha na Taasisi za dini na kiraia
*Mashirika ya kimataifa(watchdogs) na bunge la ulaya lizungumzie vibaya utawala wake kuua image yake anayojinadi nayo "soft diplomacy" ili baadae atumike
1: Akishinda uchaguzi atakua Lame-duck president
Sababu CHADEMA wasipo shiriki uchaguzi ushindi wake utakua wa mezani utafanya asiwe confident, kama wakishiriki kura zitaibwa atapata ushindi mwembamba,nchi bado itakua Kwenye UNREST Lissu hatokubali kua haki imetendeka..
Hapa ndio watoto wa mjini aliosema brother Mshana "ukijifanya unajua hili watu wanajua lile" wata play mchezo waliouanza..
Mkuu kashinda but she is so weakened maana yake ni nini??Easy to control,rahisi Kum manipulate, atakua mikononi mwa watu zaidi ya sasa,sababu kaingia kwenye urais kwa bahati sivyo??ila kuchaguliwa kachaguliwa kwa mipango ya wajanja, wamemsaidia Kushinda kwa hoja kua Aliharibu pakubwa isingekua rahisi kumsafisha so wao ndio wanajua nini cha kufanya ashinde..Wao ndio wataongoza..sababu plan sio ashindwe uchaguzi, plan asiongoze Kwa Uhuru au kwa utashi wake 40%
BUNGE la ulaya kumjadili ni teke tu la mlangoni,she will be pressured zaidi ya hapa ili aonekane mwema baadae Watakuja na mikataba ya Madini,Digital surveillance, na Reform ya masuala ya Elimu..
Atasign mikataba mingi ya kiuchumi ya muda mrefu(Kama DP world) na wajanja watapata chao. They play the longterm game...Hawa Chess grandmasters..
Wazungu hawana shida ya kumtoa wala kumuwekea vikwazo,wanataka Kim control tu.
A leader with a title..
The most effective way to control the opposition is to lead ourselves-Vladimir Lenin