Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
- Thread starter
- #21
Ulifanya Hilo jaribio kwa temperature sawa?Umewahi jiuliza ukichemsha maji ya kawaida na maji ya baridi yapi yatawahi kuchemka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulifanya Hilo jaribio kwa temperature sawa?Umewahi jiuliza ukichemsha maji ya kawaida na maji ya baridi yapi yatawahi kuchemka
Hivi mechanism ya friji kugandisha maji ipo vipi..? KifizikiaMajibu yako ni ya kimtazamo. Yani unadhani tu
Katika uzi wako mzima huyu jamaa ndo kajaribu kujibu kisayansi zaidi kwa kugusia nguvu za mvutano za van Der wall... Lakini umeishia kumkejeli I am disappointedMajibu yako ni ya kimtazamo. Yani unadhani tu
Great reply...Jibu, kwenye Maji ya moto, molecules za Maji hayo Zina kuwa na nguvu (energy ) kubwa na kuwa free kupiga misele huko na kule, lakini kwenye Maji ya baridi molecules zinakuwa na nguvu kidogo kulinganisha na za kwenye Maji moto na Zina uoga wa kupiga misele.
Kwa hiyo, kwenye Maji moto kwa kuwa molecules huwa na nguvu ya misele basi zile zilizo kwenye mpaka(boundary of control volume) upoteza nguvu hizo haraka zikijaribu kukimbia mpaka huo kwa sababu ni nyepesi(low density) huku zikilazimishwa kubaki hapo mpakani kwa nguvu ya mvutano( Vand der Waal's force).
Sasa na zile molecules nyingine kwenye Maji hayo hayo ya moto kwa kihelehele Chao kisa Zina nguvu nyingi ukimbilia mpakani. Kabla hazijafika mpakani, ukumbana na uzio wa molecules nyezao zilizopoteza nguvu na kuanza kuzisaidia (kwa kuziongezea nguvu) kujinasua kwenye Hali Ile ya kupoteza nguvu haraka na kujinasua mpakani. Nazo hizi molecules pia unasa kwenye uzio huo. Kufanya hivyo, husababisha molecules hizi zinazotoa msaada kupoteza nguvu nyingi kwa kasi kubwa sana kuliko hizo molecules zilizo mpakani kwa sababu zinatoa nguvu ya kuwanasua wenzao lakini pia Nazo zinapambana kujinasua kwenye uzio. Hali hii uendelea kwa kasi zaidi kwa molecule nyingine zinazofuata (Hii hasa ndiyo sababu ya Maji ya moto kuganda haraka). Hali hii uendelea hivyo hivyo na kusababisha aina fulani ya mpangilio unaoeleweka wa molecules (loss of entropy).
Kumbuka molecules zote kwenye hayo Maji ukimbia kutoka ndani(interior) kuja mpakani (boundary); hii usababisha kutengenezeka nafasi wazi kule ndani. Ndiyo maana barafu zitokanazo na maji ya moto zinakuwa na vinafasi wazi katikati mara nyingi.
Kwa upande wa maji baridi molecules zake Hazina amsha amsha kama kwenye maji moto, hivyo mchakato wake wa kuganda huwa wa taratibu mno ukilinganisha na maji moto. Hivyo Maji ya baridi hayagandi haraka.
Nadhani nimetoa ufafanuzi unaoeleweka wa Mpemba Effect. Hatuhitaji sheria nyingine mpya ya malipizo, yaani Comeback law kisa tu hatutaki kuielewa barabara Mpemba Effect.
Tafadhali Pinga hoja yangu hii kwa kufanya kwanza jaribio la kugandisha Maji ya moto na baridi kwa wakati mmoja.
Heko Mpemba Effect.
Inaonekana jamaa hajui physics kabisa, huwezi kufananisha Newton's law of cooling na mpemba effect, yaani ni kama mbingu na ardhi.Newton law of cooling haielezi mpemba effect mkuu. Mpemba effect unajikuta zaidi Kwanini ukiweka maji ya Moto kwenye friji na yabaridi Kwanini Yale ya Moto yataganda haraka kuliko ya baridi?
Umefanya jaribio la kuweka Maji moto na maji baridi kwenye friji kwanza kabla ya kugusa hoja zilizoletwa?Majibu yako ni ya kimtazamo. Yani unadhani tu
kuna chemical liquid like substance( not realy liquid) inaitwa refrigerant,boiling temperature yake ni ndogo sana. inachezea kwenye negative huko.Hivi mechanism ya friji kugandisha maji ipo vipi..? Kifizikia
huyo ajaelewa kitu na hakika😂 muache tu.Umefanya jaribio la kuweka Maji moto na maji baridi kwenye friji kwanza kabla ya kugusa hoja zilizoletwa?
Kuna swali wanauliza hivi . Je ukiacha wazi mlango wa friji.. chumba kitakua na joto au baridi..? na ni kwanini...?kuna chemical liquid like substance( not realy liquid) inaitwa refrigerant,boiling temperature yake ni ndogo sana. inachezea kwenye negative huko.
ukiweka maji kwenye friger/frizer kuna pipe ambzo nina pitisha hiyo refrigirant, refrigerant ikipita pale ina vapour inaluwa super heated gas inaenda kwenye condesor inapoozwa inarudi tena una kuwa heated to gas then to liquid sustance like kwa rotation hii ndo cooling effect hutokea.,umeme utatumia ni kwa ajili ya compressor kufsnya rotation ya refrigerant
Ha ha ha aa! 'Entropy' siyo ya kufanyia masihara kweli...... muache tu.
Ni mbingu na ardhi kivipi?? Mbna mnapinga halafu hamuweki maelezo au vithibitisho??Inaonekana jamaa hajui physics kabisa, huwezi kufananisha Newton's law of cooling na mpemba effect, yaani ni kama mbingu na ardhi.
Hiyo issue ya mpemba huwa na hisi inahitaji zaidi majibu ya katika atomic level,, kama vile arrangement ya atoms maji yakisha chemshwa katika degree flan na arrangement ya atom inavyoenda inabadilika kadri maji yakipoa.
ukiacha wazi mlango wa friger friji itataka kupooza chumba kizima, utaiharibu. maana nyuma ya frige izo condensor pipe ukigusa ni zamoto, kwasababu heated gas inapozwa kwa kubadilishana joto na surround, sasa kama chumba kina joto, mlango wa frije uko wazi friji inapoza joto linatolea kwenda inje huku tena mlngo uko wazi air temperature inatain elibribility, chumba kitakuwa hivo hivoKuna swali wanauliza hivi . Je ukiacha wazi mlango wa friji.. chumba kitakua na joto au baridi..? na ni kwanini...?
Sio mzaa zile table ukimuonesha atafuta coment yake hiyoHa ha ha aa! 'Entropy' siyo ya kufanyia masihara kweli.
Practical proofHatimaye najibu Mpemba's Law 🤭 Kwanini kimiminika cha moto kinaganda haraka kuliko cha baridi katika friji.. Hapa jibu letu tunaweza kulipa jina "Utaratibu wa Mapambano ya Usawa". Kuwa kitu kilicho katika uchini wa chenzake hupambana kufikia hali bora na katika kupambana huko kitu hicho hushinda na kuwa bora zaidi.
Mfano mtoto mdogo huweza kujifunza haraka kuliko mtu mzima. Kwa ufupi tunaweza kusema Law of Comeback 😁 au nimezunguka sana wadau.
Hii law tuiundie jina au tuite law of comeback
Chumba kitakua hivo hivo an normal kama mwanzo...?ukiacha wazi mlango wa friger friji itataka kupooza chumba kizima, utaiharibu. maana nyuma ya frige izo condensor pipe ukigusa ni zamoto, kwasababu heated gas inapozwa kwa kubadilishana joto na surround, sasa kama chumba kina joto, mlango wa frije uko wazi friji inapoza joto linatolea kwenda inje huku tena mlngo uko wazi air temperature inatain elibribility, chumba kitakuwa hivo hivo
Kinachonichosha kwenye friji ni evaporator kuwa na joto kidogo wakati condenser ina joto kubwa. Maana mimi najua kukondensi ni kufanya kitu kiwe baridi na kuevaporate kufanya kitu kiwe na joto kubwa la kufanya kimiminika kuwa gesi.kuna chemical liquid like substance( not realy liquid) inaitwa refrigerant,boiling temperature yake ni ndogo sana. inachezea kwenye negative huko.
ukiweka maji kwenye friger/frizer kuna pipe ambzo nina pitisha hiyo refrigirant, refrigerant ikipita pale ina vapour inaluwa super heated gas inaenda kwenye condesor inapoozwa inarudi tena una kuwa heated to gas then to liquid sustance like kwa rotation hii ndo cooling effect hutokea.,umeme utatumia ni kwa ajili ya compressor kufsnya rotation ya refrigerant
Mpaka ithibitike Mpwa ndio itapewa jinaii law tuiundie jina au tuite law of comeback
Thread 'Mpemba Effect iliyozaliwa Tanzania na kuhamia ughaibuni!' Mpemba Effect iliyozaliwa Tanzania na kuhamia ughaibuni!Hatimaye najibu Mpemba's Law 🤭 Kwanini kimiminika cha moto kinaganda haraka kuliko cha baridi katika friji.. Hapa jibu letu tunaweza kulipa jina "Utaratibu wa Mapambano ya Usawa". Kuwa kitu kilicho katika uchini wa chenzake hupambana kufikia hali bora na katika kupambana huko kitu hicho hushinda na kuwa bora zaidi.
Mfano mtoto mdogo huweza kujifunza haraka kuliko mtu mzima. Kwa ufupi tunaweza kusema Law of Comeback 😁 au nimezunguka sana wadau.
Hii law tuiundie jina au tuite law of comeback
Wafanye jaribio ,ATAKAEHITAJI FUNDI FRIJI NJOO PM TUONGEEJibu, kwenye Maji ya moto, molecules za Maji hayo Zina kuwa na nguvu (energy ) kubwa na kuwa free kupiga misele huko na kule, lakini kwenye Maji ya baridi molecules zinakuwa na nguvu kidogo kulinganisha na za kwenye Maji moto na Zina uoga wa kupiga misele.