Jibu Kwanini kimiminika Cha moto huganda haraka kuliko Cha baridi katika friji (mpemba's law)

Great reply...
 
Newton law of cooling haielezi mpemba effect mkuu. Mpemba effect unajikuta zaidi Kwanini ukiweka maji ya Moto kwenye friji na yabaridi Kwanini Yale ya Moto yataganda haraka kuliko ya baridi?
Inaonekana jamaa hajui physics kabisa, huwezi kufananisha Newton's law of cooling na mpemba effect, yaani ni kama mbingu na ardhi.
Hiyo issue ya mpemba huwa na hisi inahitaji zaidi majibu ya katika atomic level,, kama vile arrangement ya atoms maji yakisha chemshwa katika degree flan na arrangement ya atom inavyoenda inabadilika kadri maji yakipoa.
 
Hivi mechanism ya friji kugandisha maji ipo vipi..? Kifizikia
kuna chemical liquid like substance( not realy liquid) inaitwa refrigerant,boiling temperature yake ni ndogo sana. inachezea kwenye negative huko.

ukiweka maji kwenye friger/frizer kuna pipe ambzo nina pitisha hiyo refrigirant, refrigerant ikipita pale ina vapour inaluwa super heated gas inaenda kwenye condesor inapoozwa inarudi tena una kuwa heated to gas then to liquid sustance like kwa rotation hii ndo cooling effect hutokea.,umeme utatumia ni kwa ajili ya compressor kufsnya rotation ya refrigerant
 
Kuna swali wanauliza hivi . Je ukiacha wazi mlango wa friji.. chumba kitakua na joto au baridi..? na ni kwanini...?
 
Ni mbingu na ardhi kivipi?? Mbna mnapinga halafu hamuweki maelezo au vithibitisho??
 
Kuna swali wanauliza hivi . Je ukiacha wazi mlango wa friji.. chumba kitakua na joto au baridi..? na ni kwanini...?
ukiacha wazi mlango wa friger friji itataka kupooza chumba kizima, utaiharibu. maana nyuma ya frige izo condensor pipe ukigusa ni zamoto, kwasababu heated gas inapozwa kwa kubadilishana joto na surround, sasa kama chumba kina joto, mlango wa frije uko wazi friji inapoza joto linatolea kwenda inje huku tena mlngo uko wazi air temperature inatain elibribility, chumba kitakuwa hivo hivo
 
Practical proof
 
Chumba kitakua hivo hivo an normal kama mwanzo...?
Kwa maana unapoweka kitu ndani ya friji ili kiwe cha baridi ni lazima lile joto lilipo ndani ya hicho kitu. Linakua linatolewa si ndo hivo...?
 
Kinachonichosha kwenye friji ni evaporator kuwa na joto kidogo wakati condenser ina joto kubwa. Maana mimi najua kukondensi ni kufanya kitu kiwe baridi na kuevaporate kufanya kitu kiwe na joto kubwa la kufanya kimiminika kuwa gesi.

Unaweza kufafanua kidogo Mkuu. Maana haya mambo ni kuelemishana.

Natanguliza shukrani.
 
Thread 'Mpemba Effect iliyozaliwa Tanzania na kuhamia ughaibuni!' Mpemba Effect iliyozaliwa Tanzania na kuhamia ughaibuni!
 
Wafanye jaribio ,ATAKAEHITAJI FUNDI FRIJI NJOO PM TUONGEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…