Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
ndio linatolewa lina pelekwa njee ya friji sasa njee ya friji si ndo ndani ya chumba na friji iko ndani ya chumba sasa utakuwa unachezea umeme tuChumba kitakua hivo hivo an normal kama mwanzo...?
Kwa maana unapoweka kitu ndani ya friji ili kiwe cha baridi ni lazima lile joto lilipo ndani ya hicho kitu. Linakua linatolewa si ndo hivo...?
kucondase ni kubadili gas kuwa liquid, refrigerant ina boiling point ndogo sana ni negative mpaka 10 ndo maana evaoorator ni baridi pia ambayo ubaridi huo wa refrigerant ni joto kali😊 hivo inachuku muda maji kiganda kutokana kwa sababu inatakiwa izunguke mara nyingiKinachonichosha kwenye friji ni evaporator kuwa na joto kidogo wakati condenser ina joto kubwa. Maana mimi najua kukondensi ni kufanya kitu kiwe baridi na kuevaporate kufanya kitu kiwe na joto kubwa la kufanya kimiminika kuwa gesi.
Unaweza kufafanua kidogo Mkuu. Maana haya mambo ni kuelemishana.
Natanguliza shukrani.
Oky sasa hapo nakupata vizuri.. kama kazi ya friji pia ni kutoa joto lililopo kwenye kitu.. je unapoweka maji ya moto na ya baridi kwa pamoja vipi hiki chenye joto kubwa kiwahi kuganda wakati heat loss yake ilibidi ichelewe tofauti na huyu wa bardi..ndio linatolewa lina pelekwa njee ya friji sasa njee ya friji si ndo ndani ya chumba na friji iko ndani ya chumba sasa utakuwa unachezea umeme tu
maji ya moto yatawahi coz molecules zake ziko active zinakimbilia kwenye ubaridi (surface) so heat exchanging yake inakuwa kubwa tena ukichangia refrigerant inapita kwa pressure kiasi.Oky sasa hapo nakupata vizuri.. kama kazi ya friji pia ni kutoa joto lililopo kwenye kitu.. je unapoweka maji ya moto na ya baridi kwa pamoja vipi hiki chenye joto kubwa kiwahi kuganda wakati heat loss yake ilibidi ichelewe tofauti na huyu wa bardi..
Mfano hiki kimiminika cha moto ili kiweze kuganda itakua hv 50c up to 0c up to -negative...
Ukija kwa huki cha baridi assume ni 20c up to 0c up to - kwa haraka haraka hapo kipi kita loss heat chap..
Kuna practical alafu kuna theory....maji ya moto yatawahi coz molecules zake ziko active zinakimbilia kwenye ubaridi (surface) so heat exchanging yake inakuwa kubwa tena ukichangia refrigerant inapita kwa pressure kiasi.
😂😂 sijawahi jaribu,,Kuna practical alafu kuna theory....
Hivi uliwahi jaribu hichi kitu...?
Sasa mbona theory nyingi sana....😂😂😂 sijawahi jaribu,,
Mkuu ukijua kustate newton's lawa of cooling na ukajua inamaana ipi jibu nadhani utalipata haraka sana.Ni mbingu na ardhi kivipi?? Mbna mnapinga halafu hamuweki maelezo au vithibitisho??
I state mkuuMkuu ukijua kustate newton's lawa of cooling na ukajua inamaana ipi jibu nadhani utalipata haraka sana.
1..kitendo cha maji kutoka kuw liqud adi solid kuna change of heatmaji yaliyochemsha alaf yakaweka kweny friji kwanin yanapata kuganda kwa haraka zaidi?
1: water after passing through heating kuna zile element ambazo natural zipo ndani ya maji kwahyo hizo elemnt uongeza density katika maji hayo yanapochemshwa hizo element approximately kwa kiwango kikubwa huondoka na kubakia chache ambazo zitafanya maji kuwa na density chache tofauti na mwanzo maji yakiwa hayajachemshwa.....kwhyo ukiyachukua maji hayo yakiwa na joto hvyo hvyo ukayaweka katika refrgretor yatawahi kuganda.
2: Cooling effects: Kitu chenye joto kali kikiwekwa kweny frij au kigandishio baridi ni lazima kitapoa haraka sana kutokan na colling effects
Elezea hii colloling effects .maji yaliyochemsha alaf yakaweka kweny friji kwanin yanapata kuganda kwa haraka zaidi?
1: water after passing through heating kuna zile element ambazo natural zipo ndani ya maji kwahyo hizo elemnt uongeza density katika maji hayo yanapochemshwa hizo element approximately kwa kiwango kikubwa huondoka na kubakia chache ambazo zitafanya maji kuwa na density chache tofauti na mwanzo maji yakiwa hayajachemshwa.....kwhyo ukiyachukua maji hayo yakiwa na joto hvyo hvyo ukayaweka katika refrgretor yatawahi kuganda.
2: Cooling effects: Kitu chenye joto kali kikiwekwa kweny frij au kigandishio baridi ni lazima kitapoa haraka sana kutokan na colling effects
sijazungumzia process nzima ya liqud to ice bali how faster liquid that has lose its desinty to be easily converted into ice1..kitendo cha maji kutoka kuw liqud adi solid kuna change of heat
Kuna uhusiano upi kati ya temperature na density mkuu..?sijazungumzia process nzima ya liqud to ice bali how faster liquid that has lose its desinty to be easily converted into ice
Elezea hii colloling effect
vry matters/ molecules zimekuwa made au composed by elemnts hizo elemnts due to their compacted katika hyo molecule zinafanya kuwepo kwa term Density...... maji yanapochemshwa temperature appliction ina husika upandaji wa joto katika hile molecule inafanya molecule kupotesa elemnts ambazo zimekuwa compacted katik hyo molecule... baada ya kuondoka kwa baadhi ya elemnt hicho kitu kitapotesa densityKuna uhusiano upi kati ya temperature na density mkuu..?
Duuuhvry matters/ molecules zimekuwa made au composed by elemnts hizo elemnts due to their compacted katika hyo molecule zinafanya kuwepo kwa term Density...... maji yanapochemshwa temperature appliction ina husika upandaji wa joto katika hile molecule inafanya molecule kupotesa elemnts ambazo zimekuwa compacted katik hyo molecule... baada ya kuondoka kwa baadhi ya elemnt hicho kitu kitapotesa density
Duuuh
that hot water has less dissolved gas (such as oxygen and nitrogen) than cold waterupande wa colling effects: hapa
Kula madini hiyooo
This phenomenon is known as the Mpemba effect, and while it has been observed by many people over the years, the exact cause of it is not fully understood and is still a topic of scientific debate.
One explanation for the Mpemba effect is that hot water has less dissolved gas (such as oxygen and nitrogen) than cold water, and this reduced amount of dissolved gas can cause the hot water to cool faster. Dissolved gas can act as an insulator and hinder the heat transfer between the water and its surroundings. So, when there is less gas present in the hot water, the heat transfer can occur more efficiently, allowing the hot water to cool faster.
Another possible explanation is that the hot water may be more likely to form convection currents, which can cause it to cool faster. When water is heated, it becomes less dense and rises, while cooler water sinks to the bottom. This movement can create a circular flow of water, which can help to transfer heat away from the hot water more quickly.
However, it should be noted that the Mpemba effect is not always observed, and there are many factors that can influence the cooling rate of water, such as the starting temperature, the container shape and size, and the surrounding environment.
less dissolved gas ndio sawa na pale nilivyoelezea na molecule kupoteza elements after heating....ni hivyo hvyo maji ya baridi disosolved elemts zinakuwa nying alf molecule moja moja katika maji zinakuwa nzito due to compacted za hizo dissolved elementsthat hot water has less dissolved gas (such as oxygen and nitrogen) than cold water
Inamaana baada ya hot water kuwa cooled nayo itakua na high dissolved gas si nihvyo mkuu?