kapyoko JF-Expert Member Joined May 10, 2022 Posts 1,431 Reaction score 2,206 Sep 8, 2025 #21 Okk said: hivi vitoto serikali isipoingilia kati, nguvu kazi itaishia Segerea Click to expand... Mkuu kufikishwa tu segerea hiyo pia ni uingiliaji kati wa Serekali
Okk said: hivi vitoto serikali isipoingilia kati, nguvu kazi itaishia Segerea Click to expand... Mkuu kufikishwa tu segerea hiyo pia ni uingiliaji kati wa Serekali
Stability JF-Expert Member Joined Jan 30, 2020 Posts 822 Reaction score 2,966 Sep 8, 2025 Thread starter #22 cocochanel said: 😂 Yes umezeeka sasa, fata wazee wenzako. Click to expand... Huu ni ushauri bora kabisa🤣
cocochanel said: 😂 Yes umezeeka sasa, fata wazee wenzako. Click to expand... Huu ni ushauri bora kabisa🤣
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 8, 2025 #23 Kheri kafikiria hivyo, maana siku hizi mkeka ni kubet... Cc: Mahondaw
To yeye JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 20,518 Reaction score 38,854 Sep 8, 2025 #24 Criss said: Ughaibuni wapi mkuu ,vingine vya sitimbi kabisa vanakuwaga vinaa tu🤣🤣dawa yao na wewe vifanye vijione vyakishua kweli ,ukivibananisha nimwendo wakuvifinya hadi vitoe uHarO 😎 Click to expand... Hii tabia umeanza lini mkuu?
Criss said: Ughaibuni wapi mkuu ,vingine vya sitimbi kabisa vanakuwaga vinaa tu🤣🤣dawa yao na wewe vifanye vijione vyakishua kweli ,ukivibananisha nimwendo wakuvifinya hadi vitoe uHarO 😎 Click to expand... Hii tabia umeanza lini mkuu?
Lexus SUV JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 5,189 Reaction score 6,506 Sep 8, 2025 #25 Watu8 said: Tupo ughaibuni... Click to expand... Pia poa Mimi nipo misri kwenye nchi ya ahadi .