Kwa tukio kama hili, jibu la Marekani ni muhimu sana si kwa sababu ya yule aliyekamatwa, bali kwa ajili ya usalama wa taifa na ukweli. Ukimya wa Marekani utawapa CCM nafasi ya kuendelea kutengeneza simulizi yao ili kufunika mauaji ya tarehe 29 Oktoba 2025.
Taarifa rasmi kutoka Marekani itaweka wazi kama huyu aliyetajwa ni mwanajeshi wao kweli au ni maigizo ya serikali kutengeneza adui wa kufikirika wa kutupia lawama. Hivyo, jibu la Marekani si suala la diplomasia tu, ni suala la kuzuia upotoshaji, propaganda, na kuficha ukweli wa vifo vya raia.