Jibu la Putin baada ya Korea kusini kupeleka silaha Ukraine

Jibu la Putin baada ya Korea kusini kupeleka silaha Ukraine

Kila mmoja kajibiwa kwa wakati wake :Israel kashajibiwa anaendelea kuteseka mpaka sasa
:Ujerumani na Nchi za Ulaya zinaumia viwanda vipo chini ya uzalishaji na ajira kupungua baada kukatiwa Gas
:Marekani mabilioni yake ya Dola yameendelea kuteketea bila kusaidia chochote Ukraine zaidi imepoteza ardhi yake..wakati huo huo Russia anazidi kujitanua Duniani Nyambizi zipo Cuba Zingine zipo Atlantic na Pacific ambayo ni Asia Mfaransa kabinywa kende kafurushwa Africa magharibi Mali, Burkina Faso, Niger, Mali, Gabon na Russia wameribishwa.
Ni vile tuna upenzi tu wa hizi timu lakini ukweli huyu jamaa, aitwae Putin, ni mwamba aisee;

Hakuna taifa lolote dunia hii anawsza kumfanyia jeuri marekani kiasi hiki, HAKUNA. China anachezewa sharubu kila siku pale Hong Kong lkn si mwamba Putin....anakiamsha within seconds,

Hakuna taifa lolote dunia hii litapeleka silaha karibu na marekani lkn mwamba kapeleka hapo Cuba, tena zenye nuclear kabisa,
Hakuna taifa lolote dunia hii linaweza kubishana na nchi za nato, mwamba putin si kwamba anabishana nao tu bali anatwanga kabisa vitu vyao wanavyopeleka Ukraine,
Hakuna taifa lolote linaloweza kuhimili kuwa vitani huku likiwa na vikwazo kibao vya nchi za magharibi lakini mwamba Putin ameweza na sasa anatawanya tu vifaa vyake vya kijeshi dunia yote.
 
Urusi ni mbwa asiye na meno! Hakuna nchi Duniani ya kupigana na Marekani, Warusi wa Buguruni hawataki ukweli.
Putin anatapatapa tu hana lolote,mara aende Iran kuomba Drones,mara North Korea,muda ukifika utaongea wenyewe!
Shida yako umeathiriwa na magemu ya vita lakini muvi za Hollywood na akina Schwazeneger, Rambo unadhani Ndo vita halisi, unavyoonekana una stori nyingi sana za vijiweni kuhusu US, hakuna silaha hata moja ya NATO ya kumtisha KIDUKU achana na PUTIN kwa sababu hadi sasa kuanzia US,UK, France, German, Japan, Nordic countries, yaani tunazungumzia vifaru chapa chui (Leopard 2), Abrahms, Mfumo wa anga wa US (THAAD) Sijui nini zoote zimebamizwa na HYPERSONIC (KINZAL) sasa hivi west wanawaza uchawi tu
 
Kuna mikataba inazuia Russia kuishambulia Nchi nyingine yeye ni Peace Keepers pale na alikubaliwa na Nchi zote Armenia na Azerbajain ila mkataba aliosaini na Kim ni wa Kivita zaidi ikiwepo kusaidiana silaha
Kama mwanzoni alizuia mapigano haina ya hizi nchi ikawa ni pamoja na kuweka askari na vifaa vya kijeshi, hii mara ya mwisho ni kipi kilibadilika?
 
Urusi ni mbwa asiye na meno! Hakuna nchi Duniani ya kupigana na Marekani, Warusi wa Buguruni hawataki ukweli.
Putin anatapatapa tu hana lolote,mara aende Iran kuomba Drones,mara North Korea,muda ukifika utaongea wenyewe!
Marekani anabebwa na NATO bwasheee hana jingine jipya
 
Bahati mbaya au nzuri hakuna silaha atakayopeleka itakayoleta maajabu,Kama Abraham's na vifaru vyote vya maana vimepigwa kiberiti,makombora yanatunguliwa,air defense zinamalizwa sijui yeye S/Korea ana silaha gani ya kubadilisha upepo.
Ameenda North Korea kuomba chumvi na kiberiti!
 
Urusi ni mbwa asiye na meno! Hakuna nchi Duniani ya kupigana na Marekani, Warusi wa Buguruni hawataki ukweli.
Putin anatapatapa tu hana lolote,mara aende Iran kuomba Drones,mara North Korea,muda ukifika utaongea wenyewe!
Sijui una Elimu gani,
Hasara tupu kichwani
 
Back
Top Bottom