Jibuni hoja, msituletee ujinga

Jibuni hoja, msituletee ujinga

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
357
Reaction score
686
Tangu Tundu Lissu atangaze kaulimbiu ya No Reforms No election kumekuwa na matamko kadhaa ya kkipuuzi na ya kitoto yanayotolewa na viongozi wa upande kinzani.

Kwa ujinga hawajaweza kujibu hoja za msingi za Tundu Lissu. Hoja zake zipo very clear kwamba, ni lazima kwanza kufanya maboresho ya Katiba na Sheria za Uchaguzi ndipo ufanyike uchaguzi.

Badala ya kujibu hoja hizo, wao wanawaambia wananchi kwamba eti Lissu anataka kuleta vurugu Nchini. Jibuni hoja, msiwadanganye Watanzania.

Haiwezekani mtu anakudhulumu mali yako halafu unapodai haki yako unaambiwa unataka kuleta vurugu.

Mwaka huu haitawezekana tena kugombea au kusimamia uchaguzi bila kufanyika kwanza maboresho ya Katiba na Sheria bora za Uchaguzi.
 
Wanaweza kuzamini vyombo vya habari tafrija za wasanii mpaka ya mobeto ili watu waendelee kuwa wapuuzi na ccm.
Hii nchi bwana
 
Nataka nianzishe huu uzi "Orodha ya matukio, vimbwaga, maamuzi yalioyotolewa wakati wa awamu ya Tatu ya Benjamini mkapa" niongezee mifupaaaa mwanangu kazaliwa Jana akute kumbukumbu vyote kwake vinatakiwa kuwa vipyaaaa
 
Back
Top Bottom