Jicho la mahaba

tukutane wapi nikuoneshe langu kama mfano halisi wa swali lako.
 
Me natokea Tanga,sa sijamielewa mnaposema Jicho,me nlitaka kujua ni jicho gani mwalizungumzia maana mwanichanganya mie?
 
ni jicho jicho kaka lol kwani kuna jiCHO gani liitwalo jicho JENGINE wataka kuleta mengine na weye khaa!!1
me natokea tanga,sa sijamielewa mnaposema jicho,me nlitaka kujua ni jicho gani mwalizungumzia maana mwanichanganya mie?
 
lalegalega kuanguka mwenzangu.kama mke kama mume aduaa kama kachomwa msumari,,mana ayakaza umfahamu kama kakudondokea..

mmmh jicho lako bibie nalitamani kweli...................................
 
haaaaaaa weeeeee mi langu la upole usisababishe baba akanifungia internet bure mi wa geti kali baba apendi hivooo kimbweka mwenzio!!!
mmmh jicho lako bibie nalitamani kweli...................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…