Jicho la mahaba

Wekeni hata picha basi ili tusiojua jicho la mahaba likoje tujifunze!! Wengine tunaelewa kwa vitendo zaidi especially masuala yanayohusiana na mapenzi
 
Unamaanisha "macho" au "jicho"?

Bora umetoa angalizo konakali, kwani muda wote mimi nilikuwa natafakari nichangie nini hapa!hebu kachumbari fafanua hapa, ni jicho gani hilo unaloongelea?
 
Hivi Hashy na Nilham si muooane tu? mbona naona kama mnapendana vile!!:A S-heart-2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…