Jicho la Mwewe: Kwanini Mataifa mengi seriously sasa yanaelekeza silaha nyingi zaidi Ukraine?

Jicho la Mwewe: Kwanini Mataifa mengi seriously sasa yanaelekeza silaha nyingi zaidi Ukraine?

Gan star

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
379
Reaction score
982
Mapambano makali zaidi ya kivita yanaendelea Ukraine hasa mashariki mwa nchi, unaambiwa mapigano yaliyoko kule ni zaidi ya movie za kivita , Jeshi la Urusi limeuchakaza mji wa Mariopol lakini kwa sababu ya ushujaa wa jeshi la Ukraine Urusi imeshindwa kuumiliki mji Kwa 💯 hii ni baada ya gharama kubwa ya vifo vya well trained Ukrainian elite soldiers

Majeshi ya Urusi yameamua kuikimbia miji ya Kiyv pamoja na mji wa pili Kwa ukubwa wa Kharkiv, na hiyo ni after series of horrible defeats....!!! Pamoja na hayo jeshi la Ukraine limeendelea kuikomboa miji mingi zaidi iliyokuwa inakaliwa na jeshi la Urusi kabla.

Baada ya kushindwa kuiangusha Kiyv ,sasa Urusi imedhamiria Kwa dhati kuyachukua majimbo yaliyopo mashariki mwa Ukraine ,
Majimbo haya hasa majimbo ya Donetsk na Luhansk yana utajiri mkubwa wa viwanda , makaa ya mawe na chuma, urusi inajitahdi kuyazunguka majimbo haya na kukata supply line hasa njia za reli , ili kuwaweka mtu Kati wanajeshi wa Ukraine wanaojitahidi kupambana kuyanusuru majimbo hayo.

Kufuatia kushindwa kuiteka Kiyv , sasa lengo la Putin ni kuimega Ukraine na kuigawa , kama ilivyo Korea kusini na Korea kaskazini , Putin anawaza hvyo je NATO na USA wanawaza nini?

Kuna kila viashiria kuwa NATO na USA waliisubiri hii chance Kwa hamu kubwa , huenda kwao ilikuwa ni Golden chance , na naona Putin alikurupuka kustrike first, huenda Putin anajua anaopambana nao ila nina hofu kuwa this time hajawajua vizur , USA na NATO Kwa kudhamiria kabisa wameitenga Ukraine special kuwa uwanja wa vita, ili waikabili Russia Kwa Gharama iwayo yote ile,....

First : Wameandaa mazingira Bora kabisa Kwa kila mwananchi atakayetaka kuondoka Ukraine , ruksa kwenda nchi yoyote iliyo karbu na hata kama ni kazi watapata.

Second : Mbali na vikwazo wanavyoiwekea Russia , jamaa waliona raisi wa Ukraine ana ushawishi mkubwa na ni mhamasishaji mzuri , na hvyo hatakiwi kuondoka Kiyv, wamepambana kuhakikisha mji wa Kiyv hauanguki na Hilo wamefanikiwa.

Third: Baada ya hayo Urusi ameamua kukimbilia kuyateka majimbo yaliyopo mashariki , USA na NATO nawaona kama wanagonga cheers, Vita imehamia eneo tamu na zuri karbu na urus, ili wazichape bila kuathiri eneo jingine la Ukraine na hata mataifa ya Magharibi ....

Yawezekana malengo ya Putin yakafanikiwa Ila sidhani kama this time wahuni watamwachia , nchi nyingi sasa zinapeleka silaha nzito Ukraine , ujasiri wa Raisi wa Ukraine pia unatia Shaka , nini kinachompa ujasiri namna hyo , inashangaza pia kuona Papa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki ameibusu bendera ya Ukraine na kulaani mauaji ya Bucha, hajafanya hvi Kwa nchi zingine zinazokabiliana na Hali ya namna hyo , kwa vyovyote kafanya hvyo sio Kwa bahati mbaya.

Hatujakaa sawa mara tumeamrishwa tupige Kura kufuatana na uvamizi wa Urusi Ukraine , uvamizi wa namna hii na mauaji unaendelea maeneo mengi ya Dunia , Ila Kwa Urusi wamekaza kweli kweli ,

Kwa sasa silaha nyingi zaidi zinapelekwa Ukraine , sio Kwa bahati mbaya hii issue ipo well calculated and well organized na watu , yawezakuwa hawatanii Ila inavyoonekana hawatanii..

Lengo la Putin ilikuwa kuichukua Kiyv na kumuondoa madarakani Raisi wa nchi hyo , tatizo ni kuwa yeye mwenyewe inaonekana , hakuwa serious au hakujiandaa , au hakutarajia upinzani kama anaokutana nao, kurudi nyuma na kuchukua option nyingine inaonyesha lengo limefail ,

Je lengo hlo la pili atakuwa serious, je amejipanga , na amejiandaa, inavyoonekana wenzake wamejiandaa kivita au kidlomasia wammalize , nashauri awe serious, kama ni kupigana apigane sasa hv afe kipa afe beki , ni aheri ukafia vitani kuliko wakumalize kidiplomasia , hata akisitisha vita, leo bado watadili naye tuu mpak wamuangushe ....

Kama vita ikiendelea tayar kuna mkakati na mazingira yanatafutwa ya kuonyesha kuwa Urusi ni nchi nzuri Ila inaongozwa na uongozi mbovu , ili sku wakianza kuishambulia kila mmoja aone ni halali , na sioni nchi ya kusaidia Urusi kivita, na yyte atakayefanya hv ataonekana msaliti , Wengi wanampigia chapuo China na North Korea , China hawezi ingilia hata sekunde naomba mmtoe kabisa, huyu mwamba hamna , North Korea anaweza Ila ataweza kuwakabili jamaa Kwa mbio ndefu ? The rest watabaki tu kulaani ,

Uongozi wa Urusi uliopo ukiangushwa , mafuta yatapatikana na ngano itapatikana kama kawaida .....Baada ya Ghadafi , Sadam , na wengine wadogo wadogo kama akina mgabe, jiwe e.t.c , 😜 Putin ndo anatafutwa sasa japo wanamuheshimu Kwa uwezo wake Ila wamedhamiria kumtoa.

Wapo tuaosifu kwamba uchumi wa Russia haujatetereka pa kubwa kufuatia vikwazo , Sikia tu Kwa mtu kuhusu vikwazo , how can Russia hold for long ???

Putin alisema nchi yyte itakayoingilia itakiona cha mtema kuni , but now silaha za nchi mbali mbali zinamiminika Ukraine , na cha mtema kuni hazipo , mara anaweka nuclear alert na bla bla kibao

Na kama hii news ni kweli basi kuna shida sehemu 👇👇👇

Note : Hili ni jicho la mwewe 🙏
 
safari hii mbabe Putin kaingizwa cha like,najiuliza kipi kimemzuia kuongeza majeshi ili aichukue Ukraine yote sasa huko Donbas anakokwenda kujikusanya si ndio anataka yamkute kama ya Idd Amin Dada
 
Hakuna sehemu ambayo Ukraine imelirudisha kutoka kwa majeshi ya Urusi tofauti na maeneo ya kaskazini mwa Ukraine ambapo na penyewe Urusi walijiondoa wenyewe
 
Wameshindwa kumtoa kina Assard watanuweza the might Mr Putin?huyu Putin mwenye uwezo wa kuweza Rais Marekani Kwa sababu wanasema trump aliwekwa na Putin.hawawezi kumtoa Putin and he will win.
Hiyo Putin ndio atajuta,kuingilia uchaguzi wa Marekani,Wamemsubiri Kapatikana sasa wamembananisha..

Na Putin anapigika kirahisi sana..
 
Mimi nilishawaambia ayo machuma machuma anayo jidai kwamba anayo kila MTU anayo na wengineo hawajitangazi yeye anafikiri anayo peke yake. Ngoja auone mziki mzito wa G7 Ndio atajua ajui

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Leo waziri mkuu wa wingereza alikuwa amekutana na Rais wa ukraine hii picha inaonesha wazi ukraine ipo secured, mabeberu yameamua kudili na Putin kwelii ngoja tusubili muda ni mwalimu
 
Mapambano makali zaidi ya kivita yanaendelea Ukraine hasa mashariki mwa nchi , unaambiwa mapigano yaliyoko kule ni zaidi ya movie za kivita , Jeshi la Urusi limeuchakaza mji wa Mariopol lakini kwa sababu ya ushujaa wa jeshi la Ukraine Urusi imeshindwa kuumiliki mji Kwa 💯 hii ni baada ya gharama kubwa ya vifo vya well trained Ukrainian elite soldiers

Majeshi ya Urusi yameamua kuikimbia miji ya Kiyv pamoja na mji wa pili Kwa ukubwa wa Kharkiv, na hiyo ni after series of horrible defeats....!!! Pamoja na hayo jeshi la Ukraine limeendelea kuikomboa miji mingi zaidi iliyokuwa inakaliwa na jeshi la Urusi kabla ...

Baada ya kushindwa kuiangusha Kiyv ,sasa Urusi imedhamiria Kwa dhati kuyachukua majimbo yaliyopo mashariki mwa Ukraine ,
Majimbo haya hasa majimbo ya Donetsk na Luhansk yana utajiri mkubwa wa viwanda , makaa ya mawe na chuma, urusi inajitahdi kuyazunguka majimbo haya na kukata supply line hasa njia za reli , ili kuwaweka mtu Kati wanajeshi wa Ukraine wanaojitahidi kupambana kuyanusuru majimbo hayo ...

Kufuatia kushindwa kuiteka Kiyv , sasa lengo la Putin ni kuimega Ukraine na kuigawa , kama ilivyo Korea kusini na Korea kaskazini , Putin anawaza hvyo je NATO na USA wanawaza nini ....??

Kuna kila viashiria kuwa NATO na USA waliisubiri hii chance Kwa hamu kubwa , huenda kwao ilikuwa ni Golden chance , na naona Putin alikurupuka kustrike first, huenda Putin anajua anaopambana nao ila nina hofu kuwa this time hajawajua vizur , USA na NATO Kwa kudhamiria kabisa wameitenga Ukraine special kuwa uwanja wa vita , ili waikabili Russia Kwa Gharama iwayo yote ile,....

First : Wameandaa mazingira Bora kabisa Kwa kila mwananchi atakayetaka kuondoka Ukraine , ruksa kwenda nchi yoyote iliyo karbu na hata kama ni kazi watapata ...

Second : Mbali na vikwazo wanavyoiwekea Russia , jamaa waliona raisi wa Ukraine ana ushawishi mkubwa na ni mhamasishaji mzuri , na hvyo hatakiwi kuondoka Kiyv , wamepambana kuhakikisha mji wa Kiyv hauanguki na Hilo wamefanikiwa .

Third: Baada ya hayo Urusi ameamua kukimbilia kuyateka majimbo yaliyopo mashariki , USA na NATO nawaona kama wanagonga cheers, Vita imehamia eneo tamu na zuri karbu na urus, ili wazichape bila kuathiri eneo jingine la Ukraine na hata mataifa ya Magharibi ....

Yawezekana malengo ya Putin yakafanikiwa Ila sidhani kama this time wahuni watamwachia , nchi nyingi sasa zinapeleka silaha nzito Ukraine , ujasiri wa Raisi wa Ukraine pia unatia Shaka , nini kinachompa ujasiri namna hyo , inashangaza pia kuona Papa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki ameibusu bendera ya Ukraine na kulaani mauaji ya Bucha, hajafanya hvi Kwa nchi zingine zinazokabiliana na Hali ya namna hyo , kwa vyovyote kafanya hvyo sio Kwa bahati mbaya.

Hatujakaa sawa mara tumeamrishwa tupige Kura kufuatana na uvamizi wa Urusi Ukraine , uvamizi wa namna hii na mauaji unaendelea maeneo mengi ya Dunia , Ila Kwa Urusi wamekaza kweli kweli ,

Kwa sasa silaha nyingi zaidi zinapelekwa Ukraine , sio Kwa bahati mbaya hii issue ipo well calculated and well organized na watu , yawezakuwa hawatanii Ila inavyoonekana hawatanii..

Lengo la Putin ilikuwa kuichukua Kiyv na kumuondoa madarakani Raisi wa nchi hyo , tatizo ni kuwa yeye mwenyewe inaonekana , hakuwa serious au hakujiandaa , au hakutarajia upinzani kama anaokutana nao, kurudi nyuma na kuchukua option nyingine inaonyesha lengo limefail ,

Je lengo hlo la pili atakuwa serious, je amejipanga , na amejiandaa, inavyoonekana wenzake wamejiandaa kivita au kidlomasia wammalize , nashauri awe serious, kama ni kupigana apigane sasa hv afe kipa afe beki , ni aheri ukafia vitani kuliko wakumalize kidiplomasia , hata akisitisha vita, leo bado watadili naye tuu mpak wamuangushe ....

Kama vita ikiendelea tayar kuna mkakati na mazingira yanatafutwa ya kuonyesha kuwa Urusi ni nchi nzuri Ila inaongozwa na uongozi mbovu , ili sku wakianza kuishambulia kila mmoja aone ni halali , na sioni nchi ya kusaidia Urusi kivita, na yyte atakayefanya hv ataonekana msaliti , Wengi wanampigia chapuo China na North Korea , China hawezi ingilia hata sekunde naomba mmtoe kabisa, huyu mwamba hamna , North Korea anaweza Ila ataweza kuwakabili jamaa Kwa mbio ndefu ? The rest watabaki tu kulaani ,

Uongozi wa Urusi uliopo ukiangushwa , mafuta yatapatikana na ngano itapatikana kama kawaida .....Baada ya Ghadafi , Sadam , na wengine wadogo wadogo kama akina mgabe, jiwe e.t.c , 😜 Putin ndo anatafutwa sasa japo wanamuheshimu Kwa uwezo wake Ila wamedhamiria kumtoa.

Wapo tuaosifu kwamba uchumi wa Russia haujatetereka pa kubwa kufuatia vikwazo , Sikia tu Kwa mtu kuhusu vikwazo , how can Russia hold for long ???

Putin alisema nchi yyte itakayoingilia itakiona cha mtema kuni , but now silaha za nchi mbali mbali zinamiminika Ukraine , na cha mtema kuni hazipo , mara anaweka nuclear alert na bla bla kibao

Na kama hii news ni kweli basi kuna shida sehemu 👇👇👇

Note : Hili ni jicho la mwewe 🙏
Vita ni ya ulaya na America dhidi ya Russia
 
Hiyo Putin ndio atajuta,kuingilia uchaguzi wa Marekani,Wamemsubiri Kapatikana sasa wamembananisha..

Na Putin anapigika kirahisi sana..
[emoji1][emoji1][emoji1]
Screenshot_20220409-000518.jpg
 
Leo waziri mkuu wa wingereza alikuwa amekutana na Rais wa ukraine hii picha inaonesha wazi ukraine ipo secured, mabeberu yameamua kudili na Putin kwelii ngoja tusubili muda ni mwalimu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
FOj6Qf1VgAE1wB3.jpg
 
Round 2 inakuja sidhani safari hii mrusi atarudi na silaha za enzi za soviet.......
Upande wa pili nao wanajiandaa......nchi ishatolewa kafara hii
Screenshot_20220409-221154_RT News.jpg
Screenshot_20220409-234631_RT News.jpg
Screenshot_20220409-234519_RT News.jpg
 
Hakuna sehemu ambayo Ukraine imelirudisha kutoka kwa majeshi ya Urusi tofauti na maeneo ya kaskazini mwa Ukraine ambapo na penyewe Urusi walijiondoa wenyewe

Unajua maana ya kujiondoa? Manake yake nikukimbia joto ya jiwe kama huelewi
 
Back
Top Bottom