Jicho la Tatu: Bashite na Diamond rudini studio Upya,Tumewasitukia

Jicho la Tatu: Bashite na Diamond rudini studio Upya,Tumewasitukia

daimond naye si bashite....tuuu sanaa bila elimu ni kupoteza muda tuu....dai anapoteza muda....na muda utatoa jibu....walikuwepo kina T.I.D, mr, NICE , FEROUz na wengine wengi leo hii wapo kama hawapo....hivyo dai nae ajiangalie sana...Tanzania si nchi ya kujipendekeza kwa viongozi hata kidogo watamtumia kama toilet paper wakisha jifutia uchafu wao wanamzima kama taa.
Halaf angalia wte hao hawajawahi kuwaza alichokiwaza dimond,show moja ya daimond dar tu hawa ukiowataja hawajawah kupata toka wameanza mziki,alijifunza kwa hao walioanguka ili nae asianguke ndio maana amefika ambapo hawajafika hao.. Halaf wote wamebak wabwia ngada tu
 
Kawimbo katamu
ukiwa na akili za Ufipa lazima upinge
maana kila kitu kipinga
 
Wewe unayemchukia Mheshimiwa, hauchoki?

Naona siku hizi unazidi kutunga uongo juu ya chochote, utafikiri yeye ndiye alikupangia maisha yako yawe yalivyo. Mtanyooka tu

Makonda oyeeee

Hebu na wewe bashite tuache kwanza mwaka huu utajua kama dar ulikuja kwa mbio za mwenge au kwa basi kawahi kolomije tuachie jiji letu fyu
 
Diamond hata watoto wa kike wanakuzidi Ujasiri.

Haufai hata kwa kuuwa mjusi......mnafiki wewe. U- CCM umekutawala vibaya. Huoni haya eti unamuonea huruma Roma kisha unasema unakaa kimya? Nonsense!!

Diamond kama kijana amemwaga Sumu mbaya kwa Taifa. Wimbo wake tunaupinga sana maana unafundisha uoga na unafiki.

Diamond kwenye mapenzi hayuko Kimya Watu wanapotezwa Anakaa Kimya. Hii ni tabia za wachawi wanaosifia na kupalilia majanga kwa watu na hupiga vita mema kwa watu wa Mungu.

Eti maneno ya watu hayana maana. Eti tusihoji vyeti vya Makondakta...eti hilo nalo sio la maana. Unasema sisi Taifa moja tuache Maneno. Kwa akili yako tuburuzwe na madivision 0 tusihoji. Huu ndio upumbavu unaokera. Yaani mtu agushi vyeti afanye kazi yoyote? Hilo Taifa gani lisilofuata misingi ya Standard of professionalism?

Kama umeamua kuwa kimya ungeziba mdomo na hiyo audio yako ungeifungia chumbani ukajiimbia mwenyewe.....ujifungie ndani ukojoe ulale kama ulivyosema.

Halafu ukome kumnajisi baba wa Taifa hakuwahi kukaa kimya dhidi ya upumbavu. Tukae kimya watu wanapotezwa? Ulivyo mbumbumbu unadai hujui kwanini wabunge wanagoma bungeni.

Kama hautaki lawama za kupinga maovu na ukandamizaji wa haki ufanywao na serikali, ungeomba appointment kwa PolePole apokelewe Lumumba kisha uwaimbie watu wa Kijani wakusifu kisha ukae kimya moja kwa moja.

"He who keep silent on evils, he is a devil". Akaaye kimya dhidi ya maovu ni muovu.

Vijana tumejitoa kwa hali na Mali, Maisha na uhai wetu kupinga maovu ya serikali na watu wake yaliyo kinyume cha sheria na katiba kisha wewe unakuja na unafiki kuwa unakaa kimya.....then eti unamuonea huruma Roma.....this is foolish.

Inaonekana Makondakta alikusaidia kuandika hii mistari ya kipuuzi. Sio level ya watoto wa Kigoma. Unatudhalilisha watoto wa kiume. Unashikiwa akili na mtu asiye na marinda.....ushindwe!!

Huwezi kuwa unamuonea huruma Roma kisha unakuja na msimamo wa kuwa kimya. Maana kukaa kimya kwako unakuwa umeungana na watesaji wa Roma.

In short umetukera Watanzania. Endelea kujipendekeza kwa watesaji wa haki na Uhuru wa Watanzania ila laana ya uoga itakaa juu yako.

Eti media pande zote wanalalama eti Kiongozi atoke, nchi ninaingia matope.....eti yaani lawama...sasa wewe ulitaka Watanzania tushangilie division O agushi vyeti na ajifanye muungu tumpigie makofi? Huo upumbavu sio Watanzania wote wanaweza kuuvumilia. Ni wachache kama wewe unabembebeleza na kujipendekeza upuuzi. Watanzania nchi ni yetu. Sisi sio wapangaji. Hatutaki kuburuzwa kipuuzipuuzi.

Eti Wewe wewe Mdogo sana unaogopa.....eti maneno yasikucost......eti umeshtuka Roma kupotezwa.....kisha unasema ulimi wako ukome usikuchomoze, ufunge bakuri lako ukojoe ulale.....eti unashangaa kwanini Watanzania wanahoji....aisee.

Watanzania tunaelewa tunachokifanya. Hatukubali kurudishwa utumwani. Hata wakibaki wachache, tutaendelea.

# kutetea haki za Watanzania,
# Uhuru wa kutoa maoni,
# Kudai utawala bora, na
# Misingi ya demokrasia kuheshimiwa.

#Bring_Back_BenSaane_Alive
#Bring_Roma_And_HisFellows_Alive

Ninawatakia weekend njema.
 
Kwa kifupi tuu...


Wimbo ni wa kumfufua makonda..! Makonda's revival


Makonda ameshapotea kisiasa..!

Pili, hii weeek wamepanga kupoteza audience ya Nape huko mtama..

WCB hawana time na Roma , Babutale ndo alikuwa wa kwanza kusema waende Tongwa Records jana..

Cha kushangaza wote walioenda wametoka hapo na kwenda home kwa Makonda..

Sasa connect dots..hapi utaelewa..

1. Wimbo wa mumsafisha makinda wmerelase jana..

2. Jana hiyo hiyo makonda kasema roma atapatikana kabla ya jpili

3. Sirro with confidence anasema roma yupo hai..

4. Wasanii kwenda kwa makonda

5. Bado moja tuu sasa..la kuonekana kwa roma..


Anyway...! Wamejaribu kidogo
 
Acha akae kimya, make akiongea atapoteza lile fungu la kwenye kampeni
 
Msimchagulie upande, binadamu hatuwezi fanana kimtazamo, ingawa anazingua.
 
Acha akae kimya, make akiongea atapoteza lile fungu la kwenye kampeni
Daimond, kwa kauliyake ya kutohoji vyeti simlaumu inwezekana yeye sio msomi au hajali usomi, ila tu ninacho msihi suala hili analo lisema kuhoji vyeti hakuna umuhimu alisemee hapahapa tz, akienda kulisemeya nje ya nchi za wenzetu itakuwa ni aibu kubwa kwa watanzania
 
Sio kila mtu ana mawazo kama yako. Wote tungekuwa sawa dunia ingeboa.
 
Hapo kwa baba wa taifa ndio nimemuona mpuuzi huyo jamaa!Halafu hivi wangapi walipigania uhuru wa nchi zao wakiwa nchi za watu?
Yeye anasema huyo anayepigania haki aje tupiganie hapa waote!
Sijui tatizo nini......hajasoma historia
 
Wimbo ni mistari ya mashairi siyo Melody wala umarufu wa mtu
Wimbo huu umekuja ki mkakati umekuja kulifanya jina la MAKONDA lijadiliwe
Liimbwe na media zilizomkataa, Dai kajilipua kumsaidia aliyekataliwa asikike
Ni akili kubwa imecheza ili tusiye mtaka arejee vinywani mwetu kupitia ushawishi wake,wapenzi wake kimuziki[emoji15][emoji15][emoji15]

Tunachezeshwa kwa sauti nyororo yenye kujaa huruma huku yeye akiwa anacheza dili ya kumfufua mfu kisiasa na kimadili

Kagusa hata Bunge ili kushawishi pande zote ili lengo lake litimie hiyo ni akili kubwa mno[emoji12][emoji12]

Walijipanga vizuri sana kama hujifikirishi sana unanasa tu
Mwanzo nilinasa nikachambua shairi nikagundua baada kujiuliza nini Gwajima, Mange kuhusishwa

Nikagundua Askofu Gwajima na Dada Mange ndo wahanga wa wimbo huu wala siyo Roma
Wimbo upo mahususi kimlinda mtu na kushambulia wanaohoji uharali wa vyeti
Hitimisho ni dharau kwetu kuwa tunakaa vijiweni kujadili VYETI VYA BASHITE badala ya KUSAKA SENTI[emoji15][emoji15][emoji15]

Diamond hayupo na Roma Mkatoriki yupo kutetea Mjadala wa VYETI
TUSANUKE TUSIINGIZWE CHAKA TUDAI VYETI BASHITE TOA VYETI

Allan Bhujo FBI
Sawa mange tumekusikia
 
Diamond mpuuzi sana na bashite. Tumewashtukia dogo aache kujiingiza kwenye siasa. Anajichimbia kaburi. Bashite anatapatapa so anamtaka MTU wa kumuokoa sasa watapotea wote
 
Back
Top Bottom