Pre GE2025 Jicho la Tatu! Kuwepo kwa wawakilishi wa Ubalozi wa China Mkutano Mkuu wa CHADEMA ni ishara mbaya sana kwa CCM na siasa zake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Perfect. Sasa compare hii na ile hapo juu. hii imeeleweka.
No comments.
 
Wachina kama wadau wa maendeleo Afrika na Tanzania inawapasa wao kushirikiana na vyama vyote vya siasa haswa vyenye nguvu ya kuweza kutwaa madaraka...

Mathalani, kesho na keshokutwa upinzani ukachukua serikali ilihali huku nyuma Wachina walikataa kushirikiana na upinzani, huoni kama hata mahusiano ya kibiashara ambayo yanainufaisha China yatalegalega kama sio kupotea kabisa...
 
Hivi huku kwetu TISS kuna watu wenye akili za kushauri mambo ya msingi namna hii?
 
China hakuna Demokrasia. Huruhusiwi kuongea kuhusu siasa za kipinzani kwa serikali. Chama kimoja, CCP; Mtawala anaweza kubadirisha Katiba anavyopenda. Mwaka 2018 Rais alibadirisha Katiba kuwa rais wa maisha hadi atakapokufa. Alianza 2012 leo ni 2025.
Kumbe hawana chochote cha kuwafunza CCM,hasahasa wanatoa ishara kwa CCM kuwa utawala bila demokrasia inawezekana.
 
Niliona nikashtuka sana.
 
You might be right or wrong
 
Kumbe hawana chochote cha kuwafunza CCM,hasahasa wanatoa ishara kwa CCM kuwa utawala bila Demokrasia inawezekana.
Ndiyo wanawapa kiburi CCM na serikali yao; na wanatoa pesa nyingi sana kwa CCM. Kuna hata Chuo nasikia wamejengewa Kibaha ati chuo cha Siasa za Kikomunist na CCM wameingia mkenge.

CCM wanaamini sana siasa ya chama kimoja
 
Hakuna ishara mbaya yoyote.
Wamepewa baraka na ccm.

Jiulize kipindi cha meko walithubutu kwenda??
 
Ndiyo wanawapa kiburi CCM na serikali yao; na wanatoa pesa nyingi sana kwa CCM. Kuna hata Chuo nasikia wamejengewa Kibaha ati chuo cha Siasa za Kikomunist na CCM wameingia mkenge.

CCM wanaamini sana siasa ya chama kimoja
CCCP ndo funder mkubwa wa CCM na Serikali yao
 
Uko sahihi mno. China ilikuwa imefikia hatua ya kupigia debe CCM lakini sasa hivi wamegundua kuwa uwezekano wa upinzani kuchukuwa nchi Tanzania ni dhahiri.
 
wale waliwakilisha nchi ya china kwa vile walitoka ubalozini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…