Pre GE2025 Jicho la Tatu! Kuwepo kwa wawakilishi wa Ubalozi wa China Mkutano Mkuu wa CHADEMA ni ishara mbaya sana kwa CCM na siasa zake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Target ya CHADEMA ni kuiondoa CCM madarakani.

CCM ipo madarakani kwa sababu nyingi ikiwemo kutokana na support kubwa wanayopata kutoka CHINA.

CHINA ambao ndo supporters wakubwa wa CCM kuanza kuwa flexible na kujenga urafiki na maadui na wapinzani wa CCM sio ishara na dalili nzuri kwa CCM.

Kama hujaelewa hadi hapa basi siwezi kukuelewesha tena.

Mantiki ya uzi huu ni kuonesha kwa namna gani CCM ipo kwenye njia ya kwenda kupoteza nguvu zake. Not otherwise.
Perfect. Sasa compare hii na ile hapo juu. hii imeeleweka.
No comments.
 
Wachina kama wadau wa maendeleo Afrika na Tanzania inawapasa wao kushirikiana na vyama vyote vya siasa haswa vyenye nguvu ya kuweza kutwaa madaraka...

Mathalani, kesho na keshokutwa upinzani ukachukua serikali ilihali huku nyuma Wachina walikataa kushirikiana na upinzani, huoni kama hata mahusiano ya kibiashara ambayo yanainufaisha China yatalegalega kama sio kupotea kabisa...
 
Wachina kama wadau wa maendeleo Afrika na Tanzania inawapasa wao kushirikiana na vyama vyote vya siasa haswa vyenye nguvu ya kuweza kutwaa madaraka...

Mathalani, kesho na keshokutwa upinzani ukachukua serikali ilihali huku nyuma Wachina walikataa kushirikiana na upinzanoa, huoni kama hata mahusiano ya kibiashara ambayo yanainufaisha China yatalegalega kama sio kupotea kabisa...
Hivi huku kwetu TISS kuna watu wenye akili za kushauri mambo ya msingi namna hii?
 
China hakuna Demokrasia. Huruhusiwi kuongea kuhusu siasa za kipinzani kwa serikali. Chama kimoja, CCP; Mtawala anaweza kubadirisha Katiba anavyopenda. Mwaka 2018 Rais alibadirisha Katiba kuwa rais wa maisha hadi atakapokufa. Alianza 2012 leo ni 2025.
Kumbe hawana chochote cha kuwafunza CCM,hasahasa wanatoa ishara kwa CCM kuwa utawala bila demokrasia inawezekana.
 
Mataifa yanayoheshimika duniani kwa kuwa na intelejensia ya kiwango cha juu duniani kwa sasa ni Marekani, Urusi, Israel, China na Uingereza.

Intelejensia ya kiwango cha juu katika mataifa haya zimeyawezesha mataifa haya kuweza kuzimudu kwa kiwango cha juu sana siasa za dunia (geopolitics) na kuyafanya mataifa haya yaendelee kuwa juu kiuchumi.

Katika machafuko yaliyotokea na yanayoendelea Msumbiji taifa lililoathirika zaidi ni CHINA. China kama marafiki wakuu wa chama cha FRELIMO waliwekeza sana nchini Msumbiji.

Vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi wa Msumbiji zimeathiri sana biashara za wachina maana wananchi walichoma maduka ya wachina na kuharibu mali zao wakiamini kuwa China imeshiriki kuifanya Frelimo kuiba uchaguzi.

Soma, Pia: Wachina wanafanya nini kwenye Uchaguzi wa CHADEMA?

Tukio la CHINA kukubali mualiko wa CHADEMA na kwenda kwenye mkutano wao Mkuu inamaanisha kuwa Idara ya Intelejensia ya CHINA imeishauri Serikali ya CHINA kuanza kuwa marafiki na vyama pinzani vya Afrika ili kulinda uwekezaji wao na maslahi yao.

Kwa watu wasioona kwa jicho la 3 wanaweza kulichukulia lile jambo kama jambo la kawaida sana ila kwa wanaojua kuwa CHAMA CHA MAPINDUZI kinategemea kwa asilimia zaidi ya 70 kwa CHINA ili kuendelea kuongoza Tanzania wataanza kuamini kuwa hali ya chama cha Mapinduzi inaanza kuwa mbaya nchini Tannzania.

Inawezekana huu ukawa ujumbe kuwa Chama cha Kikomunisti na China kipo tayari kufanya kazi na CHADEMA endapo itachukua nchi.

Sasa naelewa kwa nini kuna hofu kubwa CHAMA CHA MAPINDUZI baada ya mkutano mkuu wa CHADEMA na ushindi wa LISSU.

Mwaka 2025 unaweza kuja na suprise ya karne nchini Tanzania.View attachment 3210926View attachment 3210927View attachment 3210928
Niliona nikashtuka sana.
 
Wachina wenye nafasi hawajagi Africa. Hawa unaowaona mtaani wachuuzi ni wakiwa China hali mbaya. Wale unaowaonea huruma Mozambique unafikiri wana uchungu na Mozambique? Maana unaonesha sympathy kwa wachina kuliko victim wa utawala. Sawa yote yaliyotokea si mazuri, lakini point is, African dictators don't know China, na hii ignorance imefanya tuumize wananchi wetu. Mchina anahonga dictators Africa kusema westerners ni wabaya wakati yeye Mchina anategemea technology na biashara kutoka west.

We are simply "Useful idiots", kama Malaya, mfano hapo umejivunia sana ati kwa sababu wachina wamekuja hapo basi CCM wanaachwa, usidanganyike, you will be another useful idiot.
You might be right or wrong
 
Kumbe hawana chochote cha kuwafunza CCM,hasahasa wanatoa ishara kwa CCM kuwa utawala bila Demokrasia inawezekana.
Ndiyo wanawapa kiburi CCM na serikali yao; na wanatoa pesa nyingi sana kwa CCM. Kuna hata Chuo nasikia wamejengewa Kibaha ati chuo cha Siasa za Kikomunist na CCM wameingia mkenge.

CCM wanaamini sana siasa ya chama kimoja
 
Mataifa yanayoheshimika duniani kwa kuwa na intelejensia ya kiwango cha juu duniani kwa sasa ni Marekani, Urusi, Israel, China na Uingereza.

Intelejensia ya kiwango cha juu katika mataifa haya zimeyawezesha mataifa haya kuweza kuzimudu kwa kiwango cha juu sana siasa za dunia (geopolitics) na kuyafanya mataifa haya yaendelee kuwa juu kiuchumi.

Katika machafuko yaliyotokea na yanayoendelea Msumbiji taifa lililoathirika zaidi ni CHINA. China kama marafiki wakuu wa chama cha FRELIMO waliwekeza sana nchini Msumbiji.

Vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi wa Msumbiji zimeathiri sana biashara za wachina maana wananchi walichoma maduka ya wachina na kuharibu mali zao wakiamini kuwa China imeshiriki kuifanya Frelimo kuiba uchaguzi.

Soma, Pia: Wachina wanafanya nini kwenye Uchaguzi wa CHADEMA?

Tukio la CHINA kukubali mualiko wa CHADEMA na kwenda kwenye mkutano wao Mkuu inamaanisha kuwa Idara ya Intelejensia ya CHINA imeishauri Serikali ya CHINA kuanza kuwa marafiki na vyama pinzani vya Afrika ili kulinda uwekezaji wao na maslahi yao.

Kwa watu wasioona kwa jicho la 3 wanaweza kulichukulia lile jambo kama jambo la kawaida sana ila kwa wanaojua kuwa CHAMA CHA MAPINDUZI kinategemea kwa asilimia zaidi ya 70 kwa CHINA ili kuendelea kuongoza Tanzania wataanza kuamini kuwa hali ya chama cha Mapinduzi inaanza kuwa mbaya nchini Tannzania.

Inawezekana huu ukawa ujumbe kuwa Chama cha Kikomunisti na China kipo tayari kufanya kazi na CHADEMA endapo itachukua nchi.

Sasa naelewa kwa nini kuna hofu kubwa CHAMA CHA MAPINDUZI baada ya mkutano mkuu wa CHADEMA na ushindi wa LISSU.

Mwaka 2025 unaweza kuja na suprise ya karne nchini Tanzania.View attachment 3210926View attachment 3210927View attachment 3210928
Hakuna ishara mbaya yoyote.
Wamepewa baraka na ccm.

Jiulize kipindi cha meko walithubutu kwenda??
 
Ndiyo wanawapa kiburi CCM na serikali yao; na wanatoa pesa nyingi sana kwa CCM. Kuna hata Chuo nasikia wamejengewa Kibaha ati chuo cha Siasa za Kikomunist na CCM wameingia mkenge.

CCM wanaamini sana siasa ya chama kimoja
CCCP ndo funder mkubwa wa CCM na Serikali yao
 
Mataifa yanayoheshimika duniani kwa kuwa na intelejensia ya kiwango cha juu duniani kwa sasa ni Marekani, Urusi, Israel, China na Uingereza.

Intelejensia ya kiwango cha juu katika mataifa haya zimeyawezesha mataifa haya kuweza kuzimudu kwa kiwango cha juu sana siasa za dunia (geopolitics) na kuyafanya mataifa haya yaendelee kuwa juu kiuchumi.

Katika machafuko yaliyotokea na yanayoendelea Msumbiji taifa lililoathirika zaidi ni CHINA. China kama marafiki wakuu wa chama cha FRELIMO waliwekeza sana nchini Msumbiji.

Vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi wa Msumbiji zimeathiri sana biashara za wachina maana wananchi walichoma maduka ya wachina na kuharibu mali zao wakiamini kuwa China imeshiriki kuifanya Frelimo kuiba uchaguzi.

Soma, Pia: Wachina wanafanya nini kwenye Uchaguzi wa CHADEMA?

Tukio la CHINA kukubali mualiko wa CHADEMA na kwenda kwenye mkutano wao Mkuu inamaanisha kuwa Idara ya Intelejensia ya CHINA imeishauri Serikali ya CHINA kuanza kuwa marafiki na vyama pinzani vya Afrika ili kulinda uwekezaji wao na maslahi yao.

Kwa watu wasioona kwa jicho la 3 wanaweza kulichukulia lile jambo kama jambo la kawaida sana ila kwa wanaojua kuwa CHAMA CHA MAPINDUZI kinategemea kwa asilimia zaidi ya 70 kwa CHINA ili kuendelea kuongoza Tanzania wataanza kuamini kuwa hali ya chama cha Mapinduzi inaanza kuwa mbaya nchini Tannzania.

Inawezekana huu ukawa ujumbe kuwa Chama cha Kikomunisti na China kipo tayari kufanya kazi na CHADEMA endapo itachukua nchi.

Sasa naelewa kwa nini kuna hofu kubwa CHAMA CHA MAPINDUZI baada ya mkutano mkuu wa CHADEMA na ushindi wa LISSU.

Mwaka 2025 unaweza kuja na suprise ya karne nchini Tanzania.View attachment 3210926View attachment 3210927View attachment 3210928
Uko sahihi mno. China ilikuwa imefikia hatua ya kupigia debe CCM lakini sasa hivi wamegundua kuwa uwezekano wa upinzani kuchukuwa nchi Tanzania ni dhahiri.
 
wale waliwakilisha nchi ya china kwa vile walitoka ubalozini
 
Back
Top Bottom