Kwanini ni Wasira tena? Nadhani mnajuwa maana yakuchaguliwa mtu alie kula chumvi mingi kati kati ya familia yenye kila aina ya vipawa.....
CCM patachimbika ila kuna mzee wakuwapooza na kuwaelekeza wakati akitafuta msaidizi....
Kuna siri kubwa sana sana 😞 yakuwa wapo walio itwa ila hawakuitika na ndipo wakaja na Wasira.
Nijambo jema ila sio ishara nzuri ni swala la muda nani ata anzisha na nani atamalizia. Tough time a head of us... open your eyes