Jicho la tatu la madai ya Mwakalebela

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Binafsi baada ya kusikia madai Mwakalebela nikajiuliza Simba wawe wajinga kiasi gani watumie weakness iliyokuwa kwenye mkataba wa Yanga na Morrison na wao wafanye the same mistake moyoni nikasema haimake sense kabisa.

Baada ya kutafakari kwa kina nikaona maybe inaweza ikawa madai ya Mwakalebela yasiwe sahihi na yeye anajui madai yake sio sahihi lakini kafanye hivi kwa kusudi maalumu.

Kama unakumbukumbu hivi karibuni kulikuwa na mjadala mkubwa unaoendelea kuhusu mbinu za kocha wa Yanga ninachoona Mwakalebela katumia sakata la Morrison ili kubadilisha mjadala wa mbinu mbovu za kocha wao ili watu wajikite kwenye issue hii aliyoibua ili kuondoa pressure kwa kocha wao na team kwa ujumla.
 
Kesi itaisha kirahisi sana. Yanga waliambiwa wakalete nakala yao ya mkataba, achana na ule wa kwenye system. Wakauleta, na ndio uliochunguzwa na kukutwa na mapungufu. Simba nao wataambiwa kwakaulete mkataba. Watasaini na kuuleta, hakutakuwa na mapungufu 😁
 
viongozi wa Simba inatakiwa wajibu kama mkataba huo ni wa kweli, au la
Hivi ikionyeshwa barua iliyodakwa kabla haijasainiwa, ina maana hakutakuwapo na barua nyingine tena ulimwenguni? Huo mkataba Yanga wameudaka ambao ulikuwa haujasainiwa, haina maana kwamba hakutakuwa na uliosainiwa. Na kama upo, utasainiwa hapo hapo! Cha msingi mchezaji ameshatangulia kusaini!
 
viongozi wa Simba inatakiwa wajibu kama mkataba huo ni wa kweli, au la
Viongozi wa simba sio wajinga wakaja kujibu issue inayohusu mkataba ambao inakua ni siri kati ya mwajiri na mwajiriwa. Angekua ni Morison ndo analalamika kuhusu mkataba ingewezekana kulitolea ufafanuzi.
 
Soma uelewe, umeambiwahii mikataba ipo nakala tatu na kila nakala ni oroginal, hivyo mmoja ukiwa na shida hata hiyo mingine itakuwa na shida.
 
Hata kama hii issue itakua Kweli mkataba wa simba na Morison huko hivyo. Utopolo mnakesi ya kujibu, muliwezaje kuingia kwenye account ya usajili ya simba bila hidhini? Nani aliwapa password ya account ya simba? Kwa nini mmeamua kuuweka hadharani mkataba wa mtu bila hidhini yake, wakati hata simba ambao ndo waajiri hawawezi kuuweka hadharani mkataba walioingia na mchezaji?
Mwisho, inakuaje Yanga ambao sio part ya mkataba mnalalamika wakati pande zilizoingia mkataba hazijalalamika na ziko sawa? Msitake mfananishe issue ya Yanga na hii kwa sababu issue ya Yanga mmojawapo wa sehemu ya mkataba ndio aliyelalamikia mkataba tofauti na Yanga wanaolalamika kuhusu mkataba ambao hata hawafaidiki na huo mkataba
 
Acha majibu mepesi kwa maswali magumu
 
Magori kawajibu vizuri mkataba unawahusu Simba, Morison, FIFA na tff wao yanga huo mkataba wameupataje
 
Magori kawajibu vizuri mkataba unawahusu Simba, Morison, FIFA na tff wao yanga huo mkataba wameupataje
Hata kama kutakuwa na makosa yeyote yale, au vyovyote itavyokuwa tusitarajie kuona au kusikia mchezaji asimame kucheza kwenye timu alioanza kucheza katikati ya msimu!!! Tushike hii point mengine tunakula muda tu
 
Hata kama kutakuwa na makosa yeyote yale, au vyovyote itavyokuwa tusitarajie kuona au kusikia mchezaji asimame kucheza kwenye timu alioanza kucheza katikati ya msimu!!! Tushike hii point mengine tunakula muda tu
Hakuna pointi za bure pointi zinapatikana uwanjani chezeni mpira watu pekee wankusema mkataba haukukamilika ni Simba, Tff, Morison na FIFA utopolo wameingizwa choo cha kike
 
Walipelekewa na Senzo
 
Senzo kawatia Yanga dole la Kati,yeye ndiye aliuiba ule mkataba ukiwa nusunusu, lakini mkataba uliopo TFF uko kamili, Mwakalebela anaidhalilisha Yanga Kwa mara ya pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…