Binafsi baada ya kusikia madai Mwakalebela nikajiuliza Simba wawe wajinga kiasi gani watumie weakness iliyokuwa kwenye mkataba wa Yanga na Morrison na wao wafanye the same mistake moyoni nikasema haimake sense kabisa.
Baada ya kutafakari kwa kina nikaona maybe inaweza ikawa madai ya Mwakalebela yasiwe sahihi na yeye anajui madai yake sio sahihi lakini kafanye hivi kwa kusudi maalumu.
Kama unakumbukumbu hivi karibuni kulikuwa na mjadala mkubwa unaoendelea kuhusu mbinu za kocha wa Yanga ninachoona Mwakalebela katumia sakata la Morrison ili kubadilisha mjadala wa mbinu mbovu za kocha wao ili watu wajikite kwenye issue hii aliyoibua ili kuondoa pressure kwa kocha wao na team kwa ujumla.